Kenyan teenager breaks 10km record in US

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
kipruto_pix.jpg

Kenya's Rhonex Kipruto crosses the finishing line to win the e UAE Healthy Kidney 10km marathon on April 29, 2018 in New York. PHOTO | COURTESY |

Kenyan teenager Rhonex Kipruto clocked the fastest 10km time ever on US soil at the UAE Healthy Kidney 10K in New York City's Central Park on Sunday

The 18-year-old clocked 27:08 to eclipse the previous US all-comers mark of 27:11 set by Sammy Kipketer in New Orleans in 2002. His time is the seventh fastest ever run on a record-eligible course.

Kipruto finished 11 seconds ahead of compatriot Mathew Kimeli who finished second in 27:19. Rounding out the men’s podium was Ethiopia’s Teshome Mekonen placing third in a time of 28:10.

Kipruto smashed the previous event record of 27:35, set by world record holder Leonard Patrick Komon of Kenya in 2011.

Ethiopia’s Buze Diriba won the women's race in 32:04, just ahead of compatriot Aselefech Mergia who clocked 32:06. Monicah Ngige of Kenya finished third for the second consecutive year in 32:15.
Kenyan teenager breaks 10km record
 
Hao jamaa akili zao zipo miguuni, wao ni mbio tu hakuna kingine wanajua!
 
Bora utajike kwa kitu walau kimoja, sasa nyie tumewazidi kwa elimu, kiuchumi, teknolojia, kijeshi na kila kitu, kazi yenu mdembwedo tu na kuvaa milegezo mjini.
 
Hii Dunia Mungu amebariki watu tofauti - wengine akili, wengine sura, wengine nguvu ya kufanya kazi wengine talanta etc. Tofauti ya Kenya Na Tz, Wakenya wanatumia Baraka zao to the maximum. Nyie ni domo tu.
 
Bora utajike kwa kitu walau kimoja, sasa nyie tumewazidi kwa elimu, kiuchumi, teknolojia, kijeshi na kila kitu, kazi yenu mdembwedo tu na kuvaa milegezo mjini.

Mmetuzidi kwa idadi ya Wahindi an Wazungu tu ambao ndo wanashikilia Uchumi wa Kenya, hata uwepo wa Wazungu na Wahindi siyo juhudi zenu bali walikuja wenyewe!

Ukiondoa Wahindi na Wazungu Kenya hakuna mlichotuzidi, living standard ya Mkenya mweusi kama mimi na ya Mtanzania hakuna tofauti!
 
Sio kweli maana tumewazidi kwa vitu kama literacy rate, HDI index na mengine mengi...yaani tumewazidi kwenye kutumia akili na pia kwenye kutumia nguvu.
 
Hao jamaa akili zao zipo miguuni, wao ni mbio tu hakuna kingine wanajua!
Akili yako iko kwenye Instinct mode kama mnyama hivi yani kula, kutompana na kuzaa..(survival mode chipsi mayai).
 
Sio kweli maana tumewazidi kwa vitu kama literacy rate, HDI index na mengine mengi...yaani tumewazidi kwenye kutumia akili na pia kwenye kutumia nguvu.

Labda Muzungu na Muhindi wa Kenya ndo wametuzidi lkn siyo hawa wakimbiaji!
 
Sio kweli maana tumewazidi kwa vitu kama literacy rate, HDI index na mengine mengi...yaani tumewazidi kwenye kutumia akili na pia kwenye kutumia nguvu.

Umesahau mmetuzidi kwa rushwa na ulafi wa pesa ya umma, zuluma ya ardhi na kutokuwajali watu wa kipato cha chini pia
 
1.5tr naomba kamgao maana sisi tunapenda pesa.
CAG ametamka kwa mdomo wake hakuna hela iliyopotea. Wenzetu hata swali hamtaki kuuliza, Euro bond $2 zilienda wapi?sio Laki wala Millioni, ni Bilioni. Duh!!!
 
Kwani ni kazi ya CAG kubaini kama hela imeibiwa au la, sasa kama mnamsimamisha mbele ya watu na kumuuliza kama hela imeibiwa, unategemea aseme nini. Japo media zenu ni bongolala, za kwetu hukokotoa mpaka tunahitimisha kama kweli tumeibiwa au la, nyie mpo mpo tu.
 
CAG amekula kiapo cha utii na uaminifu. Akitolea taarifa za uwongo au kupotosha umma ni kosa la jinai.

Oh, nilisahau kingine mlichotuzidi, viongozi wa serikali kutotii amri za mahakama, hili nalo mko juu sana.
 
Back
Top Bottom