MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
CAG amekula kiapo cha utii na uaminifu. Akitolea taarifa za uwongo au kupotosha umma ni kosa la jinai.
Oh, nilisahau kingine mlichotuzidi, viongozi wa serikali kutotii amri za mahakama, hili nalo mko juu sana.
Nimekuambia sio kazi CAG kubaini wizi, yeye anatia dukuduku na kuwaachia wachunguzi kufuata.
Mahakama ya Kenya ndio ya kwanza Africa kubatili uchaguzii mkuu, wacha kale kausanii ka kakoloni kenu ka Zanzibar.