CAG amekula kiapo cha utii na uaminifu. Akitolea taarifa za uwongo au kupotosha umma ni kosa la jinai.
Oh, nilisahau kingine mlichotuzidi, viongozi wa serikali kutotii amri za mahakama, hili nalo mko juu sana.
Kama unajuwa kama wachunguzi ndio kazi yao mbona unarukia kusema zimepotea wakati uchunguzi hauka kamilika? Halafu swala sio mahakama, swala ni viongozi wa serikali pamoja na polisi wanapewa amri na mahakama, wao ndio kwanza wanazipungia mikono na kuzidharau?Nimekuambia sio kazi CAG kubaini wizi, yeye anatia dukuduku na kuwaachia wachunguzi kufuata.
Mahakama ya Kenya ndio ya kwanza Africa kubatili uchaguzii mkuu, wacha kale kausanii ka kakoloni kenu ka Zanzibar.
Kama unajuwa kama wachunguzi ndio kazi yao mbona unarukia kusema zimepotea wakati uchunguzi hauka kamilika? Halafu swala sio mahakama, swala ni viongozi wa serikali pamoja na polisi wanapewa amri na mahakama, wao ndio kwanza wanazipungia mikono na kuzidharau?
Mmetuzidi pia na njaa, slums na uchafu, roho mbaya na wizi, na Kuongea kinhereza.Bora utajike kwa kitu walau kimoja, sasa nyie tumewazidi kwa elimu, kiuchumi, teknolojia, kijeshi na kila kitu, kazi yenu mdembwedo tu na kuvaa milegezo mjini.