Kenyan To Run For California Governor's Office in 2010..Wow!!!!

Kenyan To Run For California Governor's Office in 2010..Wow!!!!

Can this one read the teleprompter eloquently? If not then there is no chance in winning the gubernatorial race.
 
Swali langu ni je, wamarekani hawana watu wenye uwezo wa kuiongoza nchi yao?

Kwanza Arnold, akafuatia Barrack halafu sasa mwingine... is this outsourcing of leadership?
 
Swali langu ni je, wamarekani hawana watu wenye uwezo wa kuiongoza nchi yao?

Kwanza Arnold, akafuatia Barrack halafu sasa mwingine... is this outsourcing of leadership?

Nope, kwanza, Obama ni Mmarekani wa kuzaliwa. Pili, Arnie naye ni Mmarekani aliyepewa uraia. Kwa hiyo wote wawili wana haki ya kugombea nafasi yeyote ile ya uongozi wa nchi yao kama ilivyoainishwa kwenye katiba ya Marekani.

Pia, Marekani ni nchi yenye jamii endelevu na ya kuigwa. Hawajali sana mambo ya rangi ya ngozi yako au sijui ulizaliwa wapi, wengi wanaangalia ubora wa uwezo wako.
 
Back
Top Bottom