Nope, kwanza, Obama ni Mmarekani wa kuzaliwa. Pili, Arnie naye ni Mmarekani aliyepewa uraia. Kwa hiyo wote wawili wana haki ya kugombea nafasi yeyote ile ya uongozi wa nchi yao kama ilivyoainishwa kwenye katiba ya Marekani.
Pia, Marekani ni nchi yenye jamii endelevu na ya kuigwa. Hawajali sana mambo ya rangi ya ngozi yako au sijui ulizaliwa wapi, wengi wanaangalia ubora wa uwezo wako.