Kenyan woman breastfeeding puppies in Saudi Arabia

Hao ndio Waarabu wa Saudi Arabia.
Tunawaambia kila siku hao watu sio watu wazuri hawasikii.

Kuna mdada wa Kiislamu alipata fursa ya kufanya kazi kampuni moja huko Saudia aligoma kabisa kwenda.

Nilipomwuliza kulikoni, aliniambia wazi kabisa kwamba kule Waarabu lazima watanisodomize.

Na hakwenda.
Hata wenyewe kwa wenyewe wanajuana.

Waarabu ni watu katili sana hapa Chini ya Jua.
 
Kwa hili,siwezi kuwalaumu au kuwasema vibaya wakenya japo wanajiona wajanja kumbe ni wajinga wa mwisho. Hili swala la watu weusi kuteswa uarabuni nimeanza kukuona toka 1996! Nikiwa ndio naanza kupata akili ya uelewa wa Mambo,yaani sio wakenya tu,hata watanzania wako kule wanateseka balaa. Yaani huwa wanadanganywa,wakifika kule wananyanganywa passport na kukatiwa mawasiliano na nyumbani nyumbani,wanabakwa,na hawapewi pesa zao hata baada ya kufanya kazi,hupigwa na kudhalilishwa.
 
Sol de Mayo tia neno hapa...Ya kweli haya?
Au waarabu wanasingiziwa
 
Hii ni kwa Wa Africa wote, including Tanzanians ni vile tu incidents hazi ropotiwi kwenye media.
 
Shida una chuki na UISLAM.
Yaani point yako inaegemea kwenye chuki kwa UISLAM.
muarabu Hana TIKETI maalum ya kufanya MADHAMBI.akifanya kinyume na mafundisho ya UISLAM anapata dhambi na hata motoni anaweza kwenda.
Hivyo basi USICHANGANYE UISLAM NA UARABU.ni vitu viwili TOFAUTI.
Unataka kusema hakuna wakristo wanaotesa watu?
Wanaoenda kufanya kazi za uhausegirl Saudi Arabia wengi ni wadada wa Kiislamu.

Mkristo hawezi kwenda huko Ufirauni.
Waache wateswe, wanawaona Waarabu kama mitume wao.
Waarabu ni kizazi Kishenzi
 
Shida una chuki na UISLAM.
Yaani point yako inaegemea kwenye chuki kwa UISLAM.
muarabu Hana TIKETI maalum ya kufanya MADHAMBI.akifanya kinyume na mafundisho ya UISLAM anapata dhambi na hata motoni anaweza kwenda.
Hivyo basi USICHANGANYE UISLAM NA UARABU.ni vitu viwili TOFAUTI.
Unataka kusema hakuna wakristo wanaotesa watu?
Maadili ya watu yanategemea miongozo yao ya Maisha.
Uislamu umewaharibu kabisa Waarabu na Wasomali.
 
Back
Top Bottom