mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Warudi tu nchini mwao.huko hakufai .na hata serikali yao ya Kenya nayo imezubaa.hata kufanya mawasiliano ya kidipromasia na saud wamekaa tu kimya.wanatakiwa wakaze na serikali iingie mkataba na serikali ya Saudi Kama mnataka rain wetu waje wafanye kazi tuingie mikataba.lolote likitokea sisi nchi mbili TUTAWAJIBIKAShida hizi ndo zinatufanya tuteseke. Dah.