Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Aisee.🙆 duh!!
Bado wana yale mawazo ya kilimbukeni kuwa kuongea Kiingereza ni kuwa matawi ya juu.But how comes,
Kenya wanaongea Kiingereza,
umeandika kwa uchungu kweli...But how comes,
Kenya wanaongea Kiingereza,
Sol de Mayo tia neno hapa...Ya kweli haya?Kwa hili,siwezi kuwalaumu au kuwasema vibaya wakenya japo wanajiona wajanja kumbe ni wajinga wa mwisho. Hili swala la watu weusi kuteswa uarabuni nimeanza kukuona toka 1996! Nikiwa ndio naanza kupata akili ya uelewa wa Mambo,yaani sio wakenya tu,hata watanzania wako kule wanateseka balaa. Yaani huwa wanadanganywa,wakifika kule wananyanganywa passport na kukatiwa mawasiliano na nyumbani nyumbani,wanabakwa,na hawapewi pesa zao hata baada ya kufanya kazi,hupigwa na kudhalilishwa.
Wanaoenda kufanya kazi za uhausegirl Saudi Arabia wengi ni wadada wa Kiislamu.
Mkristo hawezi kwenda huko Ufirauni.
Waache wateswe, wanawaona Waarabu kama mitume wao.
Waarabu ni kizazi Kishenzi
umeandika kwa uchungu kweli...
cheki vile mulivyotaka kutukonfyuzi hapa lakini tukawastukia mapema na asubui →→→ Ruto Shuts Down Suluhu's Translator
Maadili ya watu yanategemea miongozo yao ya Maisha.Shida una chuki na UISLAM.
Yaani point yako inaegemea kwenye chuki kwa UISLAM.
muarabu Hana TIKETI maalum ya kufanya MADHAMBI.akifanya kinyume na mafundisho ya UISLAM anapata dhambi na hata motoni anaweza kwenda.
Hivyo basi USICHANGANYE UISLAM NA UARABU.ni vitu viwili TOFAUTI.
Unataka kusema hakuna wakristo wanaotesa watu?