Kenyan woman breastfeeding puppies in Saudi Arabia

Shida hizi ndo zinatufanya tuteseke. Dah.
Warudi tu nchini mwao.huko hakufai .na hata serikali yao ya Kenya nayo imezubaa.hata kufanya mawasiliano ya kidipromasia na saud wamekaa tu kimya.wanatakiwa wakaze na serikali iingie mkataba na serikali ya Saudi Kama mnataka rain wetu waje wafanye kazi tuingie mikataba.lolote likitokea sisi nchi mbili TUTAWAJIBIKA
 
Hii video nimeiona tola juzi hiko kitendo sio poa kabisa. Ila ukiangalia vizuri hiyo video mnyonyeshaji anaenjoy anachofanya na sauti inayosikika ni sauti ya kuwekwa.

Video imekua dubbed na sauti
 
Kinacho waharibu Wasomali ni Dini ya Kiislamu.
Kila kukicha ni kujilipua mabomu tu. Wanalipua mpaka misikiti yao.

Ha...ha...ha.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Viladimir Putin NI dini gani!?
 

Kabla sijakujibu naomba nikuulize swali moja waliomuua yesu mwana wa Maria walikuwa dini gani ?
 
Wakenya husingiziwa mengi...
Huyo kafanya kwa mapenzi na ndo maana umeona anavivuta mwenyewe
 
Hii nafkiri ndo maana ya ile wimbo "yuko nyonyo, yuko titi amejaa tele"
Okay, on a serious note, n swala la kujiuliza, hivi hawa watu hua wanalazimishwa wafanye hivi vitu au wanapewa mshiko?
Maana ukiangalia video nyingi znazoinyesha huu ujinga behind them unakuta watu walipewa noti mfano mzuri yule wa pottaporty.
So cha kujiuliza n kimoja, je tuzuie watu kufanya kazi kuke au yunawe mikono kua n maamuz yao binafsi.
Na pia kama nchi tusisahau majuz kati tuliambiwa wabkngo wengine wameenda kule kufanya kazi kwaio tutegemee mengi
 
Aliyeshiba hawezi kuwaza hiki unacho kiwaza. Anawaza kwani aliwaambia waende? Anyway labda kwa hiki kilichotokea serikali itaingilia kati
 
Binafsi arabuni na nchi nyingi za nje ni hatar sana kwa hapa cheap labour.

Kingine ni binafsi sijawai kuona muarabu ambaye ni muislamu akafuga mbwa kwa hapa bongo...yaani nazungumzia bongo huko Saudi sijafika..
 
Waarabu na dini yao ya Uislam ni Makatili sana, hawana chembe ya huruma
 
Aliyeshiba hawezi kuwaza hiki unacho kiwaza. Anawaza kwani aliwaambia waende? Anyway labda kwa hiki kilichotokea serikali itaingilia kati
Sidhan.au labda wapige
Sema wakafa na akili zao timamu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hao jamaa walikufa vibayaa sana na hata maiti zao zilidharaurika .soma habari zao.abuu rahab ametajwa mpaka kwenye Quran kuwa ameangamia
 
Hahahah wanaita aggressiveness iyoo ya kusaka chapaa [emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23]
 
Binafsi arabuni na nchi nyingi za nje ni hatar sana kwa hapa cheap labour.

Kingine ni binafsi sijawai kuona muarabu ambaye ni muislamu akafuga mbwa kwa hapa bongo...yaani nazungumzia bongo huko Saudi sijafika..
Naskia hawafugi kabisa ni haram kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…