Kenyan woman caught stealing meat in South Africa

Duh jamaniiii[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Sasa hapo inashangaza alijifungaje huo mzigo wote bila hata kuonekana, maana huo mzigo jinsi ulivyofungwa atakuwa alitumia mda kidogo! Au alishirikiana na mwenzake...?!!
 
Sasa hapo inashangaza alijifungaje huo mzigo wote bila hata kuonekana, maana huo mzigo jinsi ulivyofungwa atakuwa alitumia mda kidogo! Au alishirikiana na mwenzake...?!!
Ndugu kilamtu na kaziyake
Wenzie ndio kazi yao
 
wale waliosema TZ walimuonea yule mwizi wa mlimani city haya sasa na wasouth wamemuonea huyu maana imeansemwa mkenya aiba nyama south Africa

Endeleeni kusema, choko zenyu mmezihamishia toka Rwanda mnaziileta Kenya!
Mtavuna mnalopanda tu!.....with time!
What goes around must surely come around!
 
Endeleeni kusema, choko zenyu mmezihamishia toka Rwanda mnaziileta Kenya!
Mtavuna mnalopanda tu!.....with time!
What goes around must surely come around!

Nyie ni wezi.
Hata uhuru alisema alivyoenda Israel. Mugabe alisema hilohilo? Unadhani mnaonewa?
Mliman City, South Africa mmekamatwa. Mnaonewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…