MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mkuu wa nchi anajua hilo.
Hiyo ndo aggressive country.
Aggressive kuiba nyama buchani?
Ndio. Muulize MK254.
Haahaaaa yule chalii hivi mzima kweli?
Ndugu kilamtu na kaziyakeSasa hapo inashangaza alijifungaje huo mzigo wote bila hata kuonekana, maana huo mzigo jinsi ulivyofungwa atakuwa alitumia mda kidogo! Au alishirikiana na mwenzake...?!!
wale waliosema TZ walimuonea yule mwizi wa mlimani city haya sasa na wasouth wamemuonea huyu maana imeansemwa mkenya aiba nyama south Africa
wale waliosema TZ walimuonea yule mwizi wa mlimani city haya sasa na wasouth wamemuonea huyu maana imeansemwa mkenya aiba nyama south Africa
Endeleeni kusema, choko zenyu mmezihamishia toka Rwanda mnaziileta Kenya!
Mtavuna mnalopanda tu!.....with time!
What goes around must surely come around!
Walifanyaje mkuu?Kwakweli nilikuwa nawatetea sana wakenya! Lakini kwa walichonifanyia hapa nakuru juzi sitoacha kuwatangaza kuwa ni wazi