Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Wakenya, Waganda, Wanyarwanda wote ni jirani na ndugu zetu!
Tuachane na majadiliano ya kusutana, kusemana vibaya, kuchukiana!
Kumbukeni..at the end sisi ni ndugu moja na tunategemeana na kuhitajiana kama majirani!
Majadiliano kama haya not healthy ktk kujenga undugu na ujirani mwema!
mijitu kama hii ndio inayoboa
where is your patriotism wakati nchi yako inatukanwa?
hatuna umoja na hawa jamaa ukilinganisha na wote hawa wana ma civil war isiyokwisha sasa nakushangaa since when did we became equal..sisi ni bora zaidi ya wao..kwa utulivu tulionao
wakitutukana sie tunyamaze?