Kenyan Writer Disses Tanzania!

Status
Not open for further replies.

mijitu kama hii ndio inayoboa

where is your patriotism wakati nchi yako inatukanwa?

hatuna umoja na hawa jamaa ukilinganisha na wote hawa wana ma civil war isiyokwisha sasa nakushangaa since when did we became equal..sisi ni bora zaidi ya wao..kwa utulivu tulionao

wakitutukana sie tunyamaze?
 

Hizo dharau zenu ndio zinazowafanya Watanzania kuwachukia Wakenya! Mnajifanya mnaielewa Tanzania kuliko Watanzania wenyewe! Hampati kitu hapa, we know you very well, very arogant and selfish!
 
Kenyan are opportunist, so dealing with that kind of people you need to be very care before you take any decision. They were the first to colapse EAC in 1977 with the reason that they are very strong economically so the thought they were contributing much to the union(unequal distribution of wealth), how come now they are the first to emphasise the Union? Although their currence is strong than Tanzania, they are not stable economically and they have realised that in the near future Tanzania will improve their economy so they want now to take this small slice of bread after they have almost finish their. Let we be very care with these guy, it is better for other country like Burundi ,Rwanda than Kenya to unite with us they are very selfish.

In terms of Education , they only know English much better than we. In the other field I hope we have improved and this new generation after we get our education we are going to make major changes. We have started to fight all MAFISAD soon the country will be good.

Wakenya ni wazuri kuzalisha kina obama huku nje, wachoyo sana na wana roho mbaya ndo maana hata mtoto(Obama) wao haipendi kenya. Tuwe makini na hawa jamaaaaa.
 
Ati obama haipendi kenya hahahahaha. I guess anaipenda tz. Get real man!
 
Ati obama haipendi kenya hahahahaha. I guess anaipenda tz. Get real man!
Hata ungekua Mmombasa habari ndo hiyo. Tanzania kila mtu anaipenda duniani. Tatizo letu ni uoga tuu. Kila mmoja duniani angependa aitwe mtanzania tukisha maliza hako kauoga. Hamna mtu anaependa mtu mchoyo na roho mbaya.
 
Wow!!! Under the cover of aliases to afford one with anonymity, it amazing to see how daggers are drawn in this forum.

Any minute, the debate is between Kenya and Tanzania...it degenerates into mudslinging and name calling.

why can't this debate be full of facts and figures and progressive thoughts instead of rehashing what has been said before.

"Oh Wakenya this and that" "Wakenya opportunist...they want to take our land" and so much blah blah blah...It is a boring argument.

We have to be progressive in our thinking.
Arguments in here are have now become so baseless. No substance at all. No meaning and improvement.
It's like a shouting match, where everyone is clamouring to shout the loudest.
How Pathetic?!!!!
 



oh course hao hao hawaishi kwenda Kenya na hasa Mombasa kuoa wanawake wa Kikenya

Ukiuliza wataja kuamboa ohhh wanjua mie nna themeji dhangu wanthokea Kibokoni!

loh!
 

Seriously speaking Juma, do you expect us to fully grasp what you are trying to say if you don't punctuate? As in you just write alot of stuff with only one full stop thrown randomly.. ebwanaeee.. Kweli wa Russia hawawezi tufunza kizungu, go take your lessons again, again. and again, and maybe just maybe you will understand what collons, comas, and fullstops are all about.
 
Kenyans are bloody and gentically opportunists. Ni wakoloni mambo sasa ukiwapendekeza tu wanaingia na viatu.
 
Tena sasa hivi inatakiwa tufunge mpaka ili mahindi yasiende kenya ili wale jeuri yao.
 

Smatta,

lemmie jump on you for a minute.Hapa JF 'hoja hujibiwa kwa hoja'...sijui
kama unanipata? Please cease and desist this thing of telling folks about
punctuation marks and such. This is not an English class forum and if
thats your interest kuna Jukwaa la Elimu.Go there and chastise folks about
their language skills.

Meanwhile I hope you are having a good day.Nimeona Kibs and RO have
decided for a new begining in Kenyan politics by starting the reform agenda yesterday.
 

Its not that am chastising the dude, lakini I will try and desist from such comments. tuta discuss hoja tu, and I will politely put my mental punctuation on his posts.

Hizo reforms hazina political goodwill, ni zile za kawaida tu, buying time. Twangoja elections coz thats our only way out, if not najaa Bongo na the next flight.
 
Wakenya wanataka kutuingiza mkenge na sie tumeshtukia ndiyo chanzo cha matusi. Kama sisi ni masikini kuna umuhimu gani wa kujiunga na sisi? Mnataka tuwanyonye nyie mlioendelea? Au nyie ni saidia masikini? Kama nyie ni saidia masikini basi jiungeni na somalia kwani jamaa hawana serikali tangu 90's.

Wakenya watu wa longolongo sana hawa mabwana. federation tunataka ila ardhi yetu itabaki kuwa mali yetu. Tanzania tumeijenga kwa miaka zaidi ya 40, leo mje mchukue ardhi kijanja tu? Acheni zenu,kwetu siyo kimbilio la matatizo yenu.
 

Smatta,

Karibu sana Bongo if things dont play out like they should.
2012 will be very interesting for all to see and I cant just wait.

Have a blessed day.
 
Wakuu,

nimebadili kichwa cha hii nyuzi maana siamini kama wakenya wamewatusi wa-Tanzania bali ni maoni ya muandishi mmoja tu.Hii ishu ilishajadiliwa kitambo
kidogo and I dont think its fair kusema eti 'Wakenya wamewatusi wa-Tz'.How about those who have families on both sides of the border?

Naomba tuwe wangwana tunapojadili ishu kama hizi maana kuna mada zengine ambazo hua ni za uchokozi tu na hamna la maana linalojitokeza baada ya malumbano.Ni ombi langu kua we will be looking for more similarities katika hizi jamii mbili na sio tofauti zinazokuza chuki na matusi.

Lets be one for the benefit of posterity.

Siku njema.
 
do you think a fool like an Idiotta can actually get into me. i aint got time for her nor not bothered with her chip shots, out of points so now she's just bubbling like a woman scorned.

may he doesnt get the message from others too, if mines arent clear to him. sort that mess no running to bongo for no election problems or else its for visiting purposes. to stay there you need a work/residence permit i guess the main post is all bout that situation so you will be deported if you think bongo will be ya save haven. you'd recognize from others if not me, sort that mess first.
 

Juma, its not that am trying to get at you, sina ubaya mie, was just stating something I had seen with no malice at all. Na kukuja Bongo kwangu hakukuhusu, it wount be the first or last time, mimi huja sana kustarehe na biashara, na wala simgongei mtu ani host, so incase of emergency nitaleta arrogance yangu kwenye front door yako, nijivinjari kwenye local pub yenyu, and I swear to God you wount like us at all when we get up on your grill.

Tafakari hayo.
 

BTW, I can see you are taking lesson. Positive criticism does help at times. Keep up, understood you better.
 
well keep doing what you do. and let me write as i write just remember im not here to impress with my writing but offer my thoughts and yes i guess somehow they get into some or else why would they moan for non.

note the punctuation isnt gonna improve that much, however enjoy life and whatever your doing.
 
BTW, I can see you are taking lesson. Positive criticism does help at times. Keep up, understood you better.

Dayummm!!!...wewe morio, lazima uwe patronising na viji-comment vyako tu.Leave the brother alone pls.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…