joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hawana uwezo wa kumuweka ndani mchina, nchi ombaomba hiyo. Kenya wanathamini sana pesa kuliko UTU na thamani ya binadamu, Kenya is really a failed StateHapo mtakua hamjamtendea haki huyo mchina. Huyu ilitakiwa awe deported baada ya miaka kama mitano hivi ya kunyea ndoo!!
😁 😁 😁 kuna mchina mmoja alitaka kuleta za kuleta Geita kwenye mgodi mmoja anajua mwenyewe alichokipataWell said
Kwanza ange shukiwa na kipigo na walio mzunguka walahi!
Wachina wa hapa kwetu huwa wananidhamu sana Asante kwa Nyerere Maana Watanzania tuna jiamini na kujithamini kweli kweli walahi na hatutaki mchezo na hii mijitu myeupe walahi , hatuwaabudu wala kuwaogopa walahi!
Mngemweka ndani kwanza uyo kenge ale harage na ugali hata miaka 10 na apige kazi za nguvu sana uko sero, kishaanza kunyonyoka ndio mnarudisha kwao tena wamtumie nauliMchinku anapanda ndege moja kwa moja hadi Uchina.
Are you trying to say he would call tanzanians white monkeys?[emoji23] [emoji23] [emoji23] this thread has stolen my sleep
Ndio matokeo ya kuuza nchi kwa mchina sasa kwanini asikudharau na Uhuru alivyo petty president kuchekacheka na wananchi kisa democracy
Am 9828085% he couldn't even think of saying that to JPM if he was in Tanzania [emoji1241] sababu angejua baada ya kusema hivyo angekua wapi
D.C.I siku hizi wamekuwa serious sio mchezo, hizi mugshot zao kwenye picha na majina ya suspects na fingerprinting na kuvalia gloves wanapo'handle' evidence ni very proffesional. Kinoti anabadilisha mambo pale Kiambu. Msimu wa maandamano ukiwadia kwa majaaliwa ya Mungu lazima hata mimi pia ntapata mugshot yangu. Hapo chini ntawaambia waandike Destroyer of public peace/Public nuisance. [emoji1]
Copy and paste from TZD.C.I siku hizi wamekuwa serious sio mchezo, hizi mugshot zao kwenye picha na majina ya suspects na kuvalia gloves wanapohandle evidence ni very proffesional. Kinoti anabadilisha mambo pale Kiambu. Msimu wa maandamano ukiwadia kwa majaaliwa ya Mungu lazima hata mimi ntapata mugshot yangu. Hapo chini ntawaambia waandike Destroyer of public peace/Public nuisance. [emoji1]
Nakuona unavomeza matapishi yako kama mbwa koko.Copy and paste from TZ
Copy and paste ni hii hukumu kutoka kwa senior resident magistrate huko Tanzania. [emoji1][emoji1][emoji1]Hawana uwezo wa kumuweka ndani mchina, nchi ombaomba hiyo. Kenya wanathamini sana pesa kuliko UTU na thamani ya binadamu, Kenya is really a failed State
Sipati picha angesema hvyo akiwa tz maana mpk saa hii [emoji2] [emoji2] [emoji2] ingekuwa unforgettable story coz hawa watu wasiojulikana wangelala nae mbele kwa mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] this thread has stolen my sleep
Ndio matokeo ya kuuza nchi kwa mchina sasa kwanini asikudharau na Uhuru alivyo petty president kuchekacheka na wananchi kisa democracy
Am 9828085% he couldn't even think of saying that to JPM if he was in Tanzania [emoji1241] sababu angejua baada ya kusema hivyo angekua wapi
senior resident magistrate ndie ka massacre kizungu hivyo???Nakuona unavomeza matapishi yako kama mbwa koko.
Copy and paste ni hii hukumu kutoka kwa senior resident magistrate huko Tanzania. [emoji1][emoji1][emoji1]
senior resident magistrate ndie ka massacre kizungu hivyo???
ze ze ze ze ze ze