Kenyans are Monkeys

Kenyans are Monkeys

Hapo mtakua hamjamtendea haki huyo mchina. Huyu ilitakiwa awe deported baada ya miaka kama mitano hivi ya kunyea ndoo!!
Hawana uwezo wa kumuweka ndani mchina, nchi ombaomba hiyo. Kenya wanathamini sana pesa kuliko UTU na thamani ya binadamu, Kenya is really a failed State
 
Mchinku anapanda ndege moja kwa moja hadi Uchina.
 
Well said
Kwanza ange shukiwa na kipigo na walio mzunguka walahi!
Wachina wa hapa kwetu huwa wananidhamu sana Asante kwa Nyerere Maana Watanzania tuna jiamini na kujithamini kweli kweli walahi na hatutaki mchezo na hii mijitu myeupe walahi , hatuwaabudu wala kuwaogopa walahi!
😁 😁 😁 kuna mchina mmoja alitaka kuleta za kuleta Geita kwenye mgodi mmoja anajua mwenyewe alichokipata
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] this thread has stolen my sleep

Ndio matokeo ya kuuza nchi kwa mchina sasa kwanini asikudharau na Uhuru alivyo petty president kuchekacheka na wananchi kisa democracy

Am 9828085% he couldn't even think of saying that to JPM if he was in Tanzania [emoji1241] sababu angejua baada ya kusema hivyo angekua wapi
Are you trying to say he would call tanzanians white monkeys?
 
DmZukXlXcAE3alB.jpg
 
D.C.I siku hizi wamekuwa serious sio mchezo, hizi mugshot zao kwenye picha na majina ya suspects na fingerprinting na kuvalia gloves wanapo'handle' evidence ni very proffesional. Kinoti anabadilisha mambo pale Kiambu. Msimu wa maandamano ukiwadia kwa majaaliwa ya Mungu lazima hata mimi pia ntapata mugshot yangu. Hapo chini ntawaambia waandike Destroyer of public peace/Public nuisance. [emoji1]
 
D.C.I siku hizi wamekuwa serious sio mchezo, hizi mugshot zao kwenye picha na majina ya suspects na kuvalia gloves wanapohandle evidence ni very proffesional. Kinoti anabadilisha mambo pale Kiambu. Msimu wa maandamano ukiwadia kwa majaaliwa ya Mungu lazima hata mimi ntapata mugshot yangu. Hapo chini ntawaambia waandike Destroyer of public peace/Public nuisance. [emoji1]
Copy and paste from TZ
 
Copy and paste from TZ
Nakuona unavomeza matapishi yako kama mbwa koko.
Hawana uwezo wa kumuweka ndani mchina, nchi ombaomba hiyo. Kenya wanathamini sana pesa kuliko UTU na thamani ya binadamu, Kenya is really a failed State
Copy and paste ni hii hukumu kutoka kwa senior resident magistrate huko Tanzania. [emoji1][emoji1][emoji1]
bbc7c0fb55d4680cded6205198fd0fd6.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] this thread has stolen my sleep

Ndio matokeo ya kuuza nchi kwa mchina sasa kwanini asikudharau na Uhuru alivyo petty president kuchekacheka na wananchi kisa democracy

Am 9828085% he couldn't even think of saying that to JPM if he was in Tanzania [emoji1241] sababu angejua baada ya kusema hivyo angekua wapi
Sipati picha angesema hvyo akiwa tz maana mpk saa hii [emoji2] [emoji2] [emoji2] ingekuwa unforgettable story coz hawa watu wasiojulikana wangelala nae mbele kwa mbele
 
Nakuona unavomeza matapishi yako kama mbwa koko.
Copy and paste ni hii hukumu kutoka kwa senior resident magistrate huko Tanzania. [emoji1][emoji1][emoji1]
bbc7c0fb55d4680cded6205198fd0fd6.jpg
senior resident magistrate ndie ka massacre kizungu hivyo???
ze ze ze ze ze ze
 
Back
Top Bottom