Kenyans At Busia Border Block Roads To Push For Release Of Ugandan Politician Boby Wine

Kenyan Catholic priest who publicly denounced the killing of opposition demonstrators by Kenyatta's government found dead
How can you call this ?[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Kenya is leading in Africa in Political and police killings, one of the reasons made it to be ranked as a failed state

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una all infos za ndani ya serikali yenyu? Huna! Therefore you and me are not sure kama wametumwa au wameamua wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Savior of Afrika mlikuwa wapi Rwanda na Burundi wakipigana na ni majirani wenu? Somalia pia mpo? Usaidizi wenu mkubwa ni wa mdomo tu hata komoro nani hajui hamkuwa peke yenu in fact mliongozwa na Ufaransa... nyie masikini wa kutupwa mtatoa wapi fedha za kugaramia vita? Hata Uganda yenyewe mlisaidiwa na wazungu na vile mnapiga kelele hapa while you know you are the most useless nation on this part of the galaxy.
 
Hahahahahahaha, thank you my brother from a failed state[emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu serekalini wako overzealous, wanafanya vitu bila hata kutumwa... Hii ndo maana mara nyengine hata mahakama hufwatilia agenda ya serekali.... serekali ikiamua shida kubwa ni ugaidi unakuta mahama pia inaamua kesi za ugaidi zimalizwe haraka, serekali ikiamua corruption ndo biggest issue mahakama nayo inajiandaa vilivyo kuhakisha wanaopatikana guilty wanapewa maximum sentence....
Vile vile polisi na vyombo vya usalama pia hua vinafanya hivyo... usifikiri M7 ndo alitoa orders huyo bobi wine apigwe kichapo cha umbwa, inaezekana M7 aliambia askari wake bobi wine ni 'enemy of the state" wanajeshi wakachukulia wanaweza kumfanya lolote... naskia sahii kuna wanajeshi kadhaa wameshikwa baada ya M7 ku order walio mtesa huyo mwanasiasa washikwe...

mfano mwengine ni ile Operation tokomeza iliofanyika Tz baada ya ndovu wengi kuuliwa Tz, unafikiri rais Kikwete aliotoa oders kwamba wanajeshi wakawatese wakaazi?
 
Hivi unafikiri Tundu Lisu alipigwa risasi kwasababu JPM alitoa orders? kuna jamaa flani serekalini kazi yao ni 'to protect the state against domestic and foreign threats" kulingana na logic yao akiku identify kama national security threat anapima merits na demerits za ku 'neutralize' akiona merits zimezidi demerits anakumaliza bila kuomba ruhusa ya mtu yoyote... A reason why Raila hawezi malizwa manake wanajua demerits ni nyingi kuliko merits, wakimaliza Kenya haikaliki tena...
 
Kenya tops Africa in police killings
Kaka utapata taabu sana kuitetea Kenya, all government organs are dead, that's why Kenya is ranked as a failed state. Hivi unadhani kwanini Nyerere alisema Kenya is a " man eat mama"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Selfish imbecile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu usitutie aibu kwa maswali hayo kihistoria, hiki ni kizazi kingine, tukubali tu hawa jamaa wako tofauti na sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu usitutie aibu kwa maswali hayo kihistoria, hiki ni kizazi kingine, tukubali tu hawa jamaa wako tofauti na sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa hadi waleo wanaongelea hadithi za vitu vilivyofanywa na babu zetu badala ya vinavyofanywa na angalau baba zetu au sisi wenyewe.... Enzi zile ilikua hata wanafunzi wa vyuo vikuu wanagomea serekali na kuitisha haki itendeke ... Watoto wa siku hizi ikiwemo mimi mwenyewe tumezembea sana, vita vyetu ni vya mtandaoni kama hivi hapa kwa jf... kazi ni kusifia watu ambao wako kaburini sahii... Kule nairaland kuna mNigeria flani juzi alikua ananisifia vile Nigeria ilichangia sana kupigana vita vya dunia World war na vile jinsi iliikomboa nchi nyingi za Africa haswa nchi za SADC ikiwemo SA, Namibia, Angola, Zimbabwe....... etc Nikamwambia walifanya hayo yote walikufa kutambo na kama wako hai wako na amnesia. ..Wajukuu na vitukuu wao ndo wanamgambo wa bokoharam sahii!
 
Hivi unadhani nchi ni kama football match zikiisha dakika 90 basi mchezo kwisha na inabaki kua historia?, nchi ni kama ujenzi wa nyumba, ulichokijenga jana ndicho kitakua ni msingi wa utakachokijenga leo. Sera za ardhi na sera za uchumi zilizoanzishwa na waasisi wa mataifa yetu ndizo hizi sasa zinazoathiri mwenendo wa uchumi wa nchi zetu. Rushwa, ukabila, ubinafsi, poverty, unemployment, land grabbing, hinger, insecurity, vyote hivi vimetokana na sera mbaya zilizoletwa na waasisi wa mataifa ya Africa, ni muhimu kulijua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…