Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujui acha wanafalsafa watakujibu!Nilingoja utupe sababu za kutuambia tu 'avoid' Raila sasa urafiki tu ndo nini?Haya basi.
Birds of the same feathers fly together, KENYANS, who is the best friend of Raila in East Africa presidents? RAFIKI WA RAILA NI NANI KATIKA MARAIS WA EAST AFRICA. AVOID RAILA!
Umemjibu vizuri maana kama vile hajielewi huwezi kusema kigezo cha urafiki kinaweza kumfanya mtu akaiga kila kitu then huwezi kumpangia mtu amchague nani.... huyu mtanzania mwenzangu totally hajielewiBinafasi mimi sio shabiki wa Raila na wala sitampigia kura, lakini maamuzi ya kumpigia au kutokumpigia hayatatokana na matukio ya nchi majirani zetu au urafiki baina ya maswahiba. Huo utakua unafiki, vipi leo hii rais Uhuru ana uswahiba na Kagame, ina maana kwa jinsi tunaskia sifa mbovu za Kagame, hivyo tumsusie Uhuru au vipi.
Kwa kweli nimeona taarifa za jinsi Magufuli anaendesha Tanzania, japo ana maamuzi mazuri kiuchumi lakini kisiasa anakandamiza kabisa, nimeona amezidisha kamata kamata na lockup kwa wapinzani. Juzi kamkamata kiongozi wa upinzani bwana Tundu Lissu kisa amemuita 'dikteta'. Kwa Kenya ni vigumu sana kufika huko maana tunaongozwa na katiba mpya ambayo ni bora zaidi ya nyingi Afrika.
Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.
Kwa kifupi hata Raila akifaulu kuwa rais wetu, hatoweza kufanya hayo anayofanya rais wenu. Atadhitiwa kwa kila hatua....
Good that you have got my point. I am worried "our" president to influence Raila if elected. If truly your checks and balances are independent , then I wish you the best of the luck!Binafasi mimi sio shabiki wa Raila na wala sitampigia kura, lakini maamuzi ya kumpigia au kutokumpigia hayatatokana na matukio ya nchi majirani zetu au urafiki baina ya maswahiba. Huo utakua unafiki, vipi leo hii rais Uhuru ana uswahiba na Kagame, ina maana kwa jinsi tunaskia sifa mbovu za Kagame, hivyo tumsusie Uhuru au vipi.
Kwa kweli nimeona taarifa za jinsi Magufuli anaendesha Tanzania, japo ana maamuzi mazuri kiuchumi lakini kisiasa anakandamiza kabisa, nimeona amezidisha kamata kamata na lockup kwa wapinzani. Juzi kamkamata kiongozi wa upinzani bwana Tundu Lissu kisa amemuita 'dikteta'. Kwa Kenya ni vigumu sana kufika huko maana tunaongozwa na katiba mpya ambayo ni bora zaidi ya nyingi Afrika.
Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.
Kwa kifupi hata Raila akifaulu kuwa rais wetu, hatoweza kufanya hayo anayofanya rais wenu. Atadhitiwa kwa kila hatua....
Mm wakenya kweli mmeamua, sikutaraji Odinga angepwaya ktk kura za maoni za ivi majuzi, OK tuwaombee amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi wenu
Sijibizani na Lumumba, kwaheri!Naona yamekushinda kwenye jukwaa la siasa umeamua kuja huku nako kupotosha. Shame on you
Huelewi, nimesema ngoja wanafalsafa wajibu, sio wewe Lumumba. amekubaliana na mimi in all fours! except kwao checks and balances zziko strong! hawezi kuzikiuka kama hapa kwetu!Umemjibu vizuri maana kama vile hajielewi huwezi kusema kigezo cha urafiki kinaweza kumfanya mtu akaiga kila kitu then huwezi kumpangia mtu amchague nani.... huyu mtanzania mwenzangu totally hajielewi
Binafasi mimi sio shabiki wa Raila na wala sitampigia kura, lakini maamuzi ya kumpigia au kutokumpigia hayatatokana na matukio ya nchi majirani zetu au urafiki baina ya maswahiba. Huo utakua unafiki, vipi leo hii rais Uhuru ana uswahiba na Kagame, ina maana kwa jinsi tunaskia sifa mbovu za Kagame, hivyo tumsusie Uhuru au vipi.
Kwa kweli nimeona taarifa za jinsi Magufuli anaendesha Tanzania, japo ana maamuzi mazuri kiuchumi lakini kisiasa anakandamiza kabisa, nimeona amezidisha kamata kamata na lockup kwa wapinzani. Juzi kamkamata kiongozi wa upinzani bwana Tundu Lissu kisa amemuita 'dikteta'. Kwa Kenya ni vigumu sana kufika huko maana tunaongozwa na katiba mpya ambayo ni bora zaidi ya nyingi Afrika.
Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.
Kwa kifupi hata Raila akifaulu kuwa rais wetu, hatoweza kufanya hayo anayofanya rais wenu. Atadhitiwa kwa kila hatua....
Soma vizuri hiyo sentensi uliyoandika kwa kiswahili, hakuna mwanafalsafa atajibu ujinga kama huo. Halaf issue ya uchaguzi na wahusu wao wenyewe haina haja ya kuanza kuwapangia watu huwezi sema AVOID RAILA utegemea kuna mwanafalsafa atajibu labda mwanafalsafa uchwara..... Mbona Lowassa amejitokeza wazi na kusema wazi anamuunga mkono uhuru....Nakushauri tu waombe mods wafute huu upuuzi ulioandika. Thus why wakenya wanatudharau sana ni kwa sababu ya watu kama nyieHuelewi, nimesema ngoja wanafalsafa wajibu, sio wewe Lumumba. amekubaliana na mimi in all fours! except kwao checks and balances zziko strong! hawezi kuzikiuka kama hapa kwetu!
Soma vizuri hiyo sentensi uliyoandika kwa kiswahili, hakuna mwanafalsafa atajibu ujinga kama huo. Halaf issue ya uchaguzi na wahusu wao wenyewe haina haja ya kuanza kuwapangia watu huwezi sema AVOID RAILA utegemea kuna mwanafalsafa atajibu labda mwanafalsafa uchwara..... Mbona Lowassa amejitokeza wazi na kusema wazi anamuunga mkono uhuru....Nakushauri tu waombe mods wafute huu upuuzi ulioandika. Thus why wakenya wanatudharau sana ni kwa sababu ya watu kama nyie
Furious quote ever !Binafasi mimi sio shabiki wa Raila na wala sitampigia kura, lakini maamuzi ya kumpigia au kutokumpigia hayatatokana na matukio ya nchi majirani zetu au urafiki baina ya maswahiba. Huo utakua unafiki, vipi leo hii rais Uhuru ana uswahiba na Kagame, ina maana kwa jinsi tunaskia sifa mbovu za Kagame, hivyo tumsusie Uhuru au vipi.
Kwa kweli nimeona taarifa za jinsi Magufuli anaendesha Tanzania, japo ana maamuzi mazuri kiuchumi lakini kisiasa anakandamiza kabisa, nimeona amezidisha kamata kamata na lockup kwa wapinzani. Juzi kamkamata kiongozi wa upinzani bwana Tundu Lissu kisa amemuita 'dikteta'. Kwa Kenya ni vigumu sana kufika huko maana tunaongozwa na katiba mpya ambayo ni bora zaidi ya nyingi Afrika.
Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.
Kwa kifupi hata Raila akifaulu kuwa rais wetu, hatoweza kufanya hayo anayofanya rais wenu. Atadhitiwa kwa kila hatua....
Umemjibu vizuri maana kama vile hajielewi huwezi kusema kigezo cha urafiki kinaweza kumfanya mtu akaiga kila kitu then huwezi kumpangia mtu amchague nani.... huyu mtanzania mwenzangu totally hajielewi
kumbe una account mbili okay.... Nina imani msumari umekuingia hata kama utakataa shame on you kabla hujaandika fikiria mara mbili kwanza itaonekana wa maana