KENYANS AVOID RAILA ODINGA

KENYANS AVOID RAILA ODINGA

Rwanda killed 37 petty criminals, Human Rights Watch says - BBC News

Just look for that story on the Rwandan press. If it exists at all it would be about denying the report. The Rwandan govt furiously denied and condemned the BBC and the HRW for highlighting those killing. So, would the local media really dare to report that?

Even in Tanzania criminals are being killed by the police. I read about an incident in which some robbers were killed in some place I cant recall in Tanzania by the mob, and the police were present and did nothing to stop them. They tacitly permitted the lynching.
Police were given instructions , day light, that "lay them down".. (not official translation.... walaze)
 
Police were given instructions , day light, that "lay them down".. (not official translation.... walaze)
That is a classic case of extra- judicial killing. The police is not supposed to kill unarmed suspects. And it is only the court of law which is supposed to sentence one to death upon finding them guilty of the offence.
 
Ndio, naelewa ya kwamba power is sweet, and the temptation to consolidate power can be really overwhelming, usifikiri Uhuru ni mtu mwema kivile, hata yeye anatamani kuwa na that authority ya Kimagufuli au Museveni.
Hata mimi 😀

In his first months in power, Uhuru alianza na fujo tu, kutoa amri hapa na pale, kufanya hili na lile bila ya kuconsult institutions zilizopo kwa mujibu wa kisheria, kelele zikawa nyingi na akapata kuaibishwa na bunge pamoja na mahakama.

Ntakupa mifano ya Anti-terrorism law na Media law ambazo alitaka kupitisha kimabavu style ya Kibaki na Moi.
Upinzani, mahakama, hasasi za raia na bunge zikampa "Red card". Akafyata.

Nchi hizi zote za EA zina serikali mithili ya kidikteta kwasababu katiba za nchi zao (ambazo wao wenyewe ndio walitunga) zimewapa mamlaka hizo, na pia raia hawahusishwi katika kutunga na kutekeleza sheria za nchi.

Katiba ya Kenya...hatusemi ni perfect, lakini wananchi wako involved sana katika uongozi wa nchi. Ili hata kubadili kipengee fulani ya katiba ni lazma wananchi kuhusishwa.
Mpeni halafu tuone kubadili Katiba kwa viongozi wa hulka ya RAO ni rahisi sana..
Kama Erdogan a President of largest Islamic democracy can change his country's constitution, what's Kenya a tribal country?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafasi mimi sio shabiki wa Raila na wala sitampigia kura, lakini maamuzi ya kumpigia au kutokumpigia hayatatokana na matukio ya nchi majirani zetu au urafiki baina ya maswahiba. Huo utakua unafiki, vipi leo hii rais Uhuru ana uswahiba na Kagame, ina maana kwa jinsi tunaskia sifa mbovu za Kagame, hivyo tumsusie Uhuru au vipi.

Kwa kweli nimeona taarifa za jinsi Magufuli anaendesha Tanzania, japo ana maamuzi mazuri kiuchumi lakini kisiasa anakandamiza kabisa, nimeona amezidisha kamata kamata na lockup kwa wapinzani. Juzi kamkamata kiongozi wa upinzani bwana Tundu Lissu kisa amemuita 'dikteta'. Kwa Kenya ni vigumu sana kufika huko maana tunaongozwa na katiba mpya ambayo ni bora zaidi ya nyingi Afrika.

Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.

Kwa kifupi hata Raila akifaulu kuwa rais wetu, hatoweza kufanya hayo anayofanya rais wenu. Atadhitiwa kwa kila hatua....
Siku za jumapili huwa unakuwa na akili za kukubwa.
 
Mpeni halafu tuone kubadili Katiba kwa viongozi wa hulka ya RAO ni rahisi sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Atajaribu tu, lakini it wont be easy.

Street demos, court litigations, the opposition frustrating the govt motions in parliament.....
will be the order during his rule.

Yeah, the same things he has been doing to this and the past govts,m; he will be enjoying the dose of his own medicine while in govt.
 
Tanzania media is under lockup, a simple mistake you get two years ban.
Mbona hata nyie mnaban, yule Gado si mulimkimbiza, Kenya hamna afadhali yoyote wewe unapiga propaganda huku utadanganya wajinga tu.
 
Mbona hata nyie mnaban, yule Gado si mulimkimbiza, Kenya hamna afadhali yoyote wewe unapiga propaganda huku utadanganya wajinga tu.

Gado ni jirani wa rais Uhuru, anaishi kwenye nyumba nzuri sana karibu na ikulu

Hebu fuata hapa uone anavyo enjoy maisha yake Kenya Subscribe to read
 
Raila Odinga hatakuja kutawala Kenya. Hata kama inatokea anashinda inabidi apokonywe tu ushindi. Raisi wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta alishawahi kumwambia mzee Odinga, ambae ni baba mzazi wa huyu Raila kukwa yeye ni punda wala hastahili kuwa kiongozi kenya. Nafikiri hii bado inaendelea. Kenya haijawa tayari kutawaliwa na akina Odinga.
Hahaha Mzee Jomo Kenyatta alikuwa na maneno ya ajabu.. Alimwambia pia Nyerere anatawala Maiti dah
 
Kenyatta ashawahi kumwambia Nyerere hivyo mkuu
Unless kuna documented proof, ndio naeza amini.
Kenyatta alikuwa mzee mature, hakuwa na hiyo tabia ya kujibizana na watu namna hiyo.

Ni hawa vijana kama akina Njonjo ambao walikuwa rika moja na Nyerere ndio wangeweza sema mambo kama hayo. Lakini Kenyatta....? Sidhani.

But that was wrong coming from the head of state....if true that is.
 
Natamani sana kuona waafrika wakipendana na kutiana moyo kwa ajili ya Afrika. Tutatofautiana kwa sababu tupo tofauti. Tofauti zetu ni za kimtazamo, kifikra,na kiutendaji. Tukizichambua tofauti zetu kwa hoja na tukazifanyia kazi tutapata maendeleo. Mwafrika kumtesa mwafrika mwenzake kwa namna yeyote ile ni dhambi ya kuchekwa na ulimwengu mzima. Mtanzania/mkenya/mganda kumtesa mwenzio kwa namna yeyote ile sii sawa. Wengine wanaweka wenzao ndani wanaposema mambo ya ukweli, wengine wanawasemea uongo, wanawfananisha na ombaomba. Wakidhani kuwa wao ni wamaana sana kuliko wengine wasitambue kuwa wamepata nafasi hizi kwa bahati tu na kwamba hawatadumu Nazi milele. Sisi hapa duniani niwapitaji Mara tunaondoka kuwapisha wengine. Tutafute hekima (kutoka kwa Mungu) ili tuweze kutenda sawasawa na mapenzi yake. Tutende yote kwa haki ili na sisi tutendewe haki. Haki huinua taifa lakini dhuluma huangamiza taifa. Karibuni kwa maoni mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Birds of the same feathers fly together, KENYANS, who is the best friend of Raila in East Africa presidents? RAFIKI WA RAILA NI NANI KATIKA MARAIS WA EAST AFRICA. AVOID RAILA!
Nonsense comments!! Indeed you are retired go to hell!
 
Back
Top Bottom