KENYANS AVOID RAILA ODINGA

Police were given instructions , day light, that "lay them down".. (not official translation.... walaze)
 
Police were given instructions , day light, that "lay them down".. (not official translation.... walaze)
That is a classic case of extra- judicial killing. The police is not supposed to kill unarmed suspects. And it is only the court of law which is supposed to sentence one to death upon finding them guilty of the offence.
 
Mpeni halafu tuone kubadili Katiba kwa viongozi wa hulka ya RAO ni rahisi sana..
Kama Erdogan a President of largest Islamic democracy can change his country's constitution, what's Kenya a tribal country?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za jumapili huwa unakuwa na akili za kukubwa.
 
Mpeni halafu tuone kubadili Katiba kwa viongozi wa hulka ya RAO ni rahisi sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Atajaribu tu, lakini it wont be easy.

Street demos, court litigations, the opposition frustrating the govt motions in parliament.....
will be the order during his rule.

Yeah, the same things he has been doing to this and the past govts,m; he will be enjoying the dose of his own medicine while in govt.
 
Tanzania media is under lockup, a simple mistake you get two years ban.
Mbona hata nyie mnaban, yule Gado si mulimkimbiza, Kenya hamna afadhali yoyote wewe unapiga propaganda huku utadanganya wajinga tu.
 
Mbona hata nyie mnaban, yule Gado si mulimkimbiza, Kenya hamna afadhali yoyote wewe unapiga propaganda huku utadanganya wajinga tu.

Gado ni jirani wa rais Uhuru, anaishi kwenye nyumba nzuri sana karibu na ikulu

Hebu fuata hapa uone anavyo enjoy maisha yake Kenya Subscribe to read
 
Hahaha Mzee Jomo Kenyatta alikuwa na maneno ya ajabu.. Alimwambia pia Nyerere anatawala Maiti dah
 
Kenyatta ashawahi kumwambia Nyerere hivyo mkuu
Unless kuna documented proof, ndio naeza amini.
Kenyatta alikuwa mzee mature, hakuwa na hiyo tabia ya kujibizana na watu namna hiyo.

Ni hawa vijana kama akina Njonjo ambao walikuwa rika moja na Nyerere ndio wangeweza sema mambo kama hayo. Lakini Kenyatta....? Sidhani.

But that was wrong coming from the head of state....if true that is.
 
Natamani sana kuona waafrika wakipendana na kutiana moyo kwa ajili ya Afrika. Tutatofautiana kwa sababu tupo tofauti. Tofauti zetu ni za kimtazamo, kifikra,na kiutendaji. Tukizichambua tofauti zetu kwa hoja na tukazifanyia kazi tutapata maendeleo. Mwafrika kumtesa mwafrika mwenzake kwa namna yeyote ile ni dhambi ya kuchekwa na ulimwengu mzima. Mtanzania/mkenya/mganda kumtesa mwenzio kwa namna yeyote ile sii sawa. Wengine wanaweka wenzao ndani wanaposema mambo ya ukweli, wengine wanawasemea uongo, wanawfananisha na ombaomba. Wakidhani kuwa wao ni wamaana sana kuliko wengine wasitambue kuwa wamepata nafasi hizi kwa bahati tu na kwamba hawatadumu Nazi milele. Sisi hapa duniani niwapitaji Mara tunaondoka kuwapisha wengine. Tutafute hekima (kutoka kwa Mungu) ili tuweze kutenda sawasawa na mapenzi yake. Tutende yote kwa haki ili na sisi tutendewe haki. Haki huinua taifa lakini dhuluma huangamiza taifa. Karibuni kwa maoni mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Birds of the same feathers fly together, KENYANS, who is the best friend of Raila in East Africa presidents? RAFIKI WA RAILA NI NANI KATIKA MARAIS WA EAST AFRICA. AVOID RAILA!
Nonsense comments!! Indeed you are retired go to hell!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…