Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Niletee couple ya black na white yenye matatizo ya ubaguzi wa rangi na mimi nitakuletea couple ya Kikuyu na Jaluo yenye matatizo ya Ukabila, "Hii inaitwa lete nilete"

Sent using Jamii Forums mobile app
heheee...nimekubana vizuri sana leo...leta hao wakikuyu na wajaluo bana wenye matatitlzo ya ukabila...siku ukileta...nakutumia link za hao black americans alafu bafunga account jf...tumeelewana
 
ngoja nikukamate...wapi hapo umeona mtu analipia ardhi kodi au nyumba...bwahaaaa...km huijui kenya kaba...hku unalipia kodi biashara baba...wala si mijengo na ardhi...endelea kujifariji
 
Attachments

ngoja nikukamate...wapi hapo umeona mtu analipia ardhi kodi au nyumba...bwahaaaa...km huijui kenya kaba...hku unalipia kodi biashara baba...wala si mijengo na ardhi...endelea kujifariji

Endeelea kubishana na sheria wewe mpagazi

The Government of Kenya, The Rating Act (cap 267), 1972 and the Valuation for Rating Act (cap 268), 1972 provide for three
types of rates: area rate based on the size and use of the land; unimproved site value rate is based upon the capital value of the
bare land and the site value; and improvement rate is based on the land and improvements separately.

NB: Wapagazi kama wewe wa kulee kibera huwa hawalipi kodi ya majengo. Wamiliki pekee ndiyo ambao hulipa. Wewe land less huwezi elewa hili.
 
bwahahaaa...hakuna mkenya anayelipa kodi ya mjengo wake wala ardhi...heheeee
 
heheee...hakuna mkenya anayelipia kodi ardhi wala mjengo wako...utaumia sana na hzo link zako...bwahahaaaa

A land less cannot understand this. this tax exists anywhere in the world, even the US has a property levy.
 
A land less cannot understand this. this tax exists anywhere in the world, even the US has a property levy.
mjengo wako km ni wa rentals utalipia kodi kw sababu ni biashara na inategemea na mahali...lkn eti mjengo wako binafsi wa kuishi hamna hta siku moja utaulipia kodi au ile ardhi...mtangojea sana kufikia level hii...eti serikali inakuuzia atdhi kw miaka flani then una renew miaka ikiisha...ujinga huo...
nyumba yako ya kuishi unailipia kodi...khaaaa...upimbi tu...kisima unakilipia kodi...

si heri nijenge nyumba za kupangisha ndio wanikate kw haki
 
tena ujuwe hzo nyumba za kupanga si kila mahali utalipia kodi...mayb kw city county,municipalities au town areas...lkn hku jwengine unakula hela ya kodi hadi mpka raha...ardhi ni yako nani wa kukusumbua
 
heheee...nimekubana vizuri sana leo...leta hao wakikuyu na wajaluo bana wenye matatitlzo ya ukabila...siku ukileta...nakutumia link za hao black americans alafu bafunga account jf...tumeelewana
Wewe acha Maneno mengi, kama unasema na kukubali kwamba kuna ubaguzi wa rangi Kati ya whites na blacks in USA, lakini Bado wanafunga ndoa, kwanini Utumie Kigezo cha kuoana Kati ya Jaluo na Kikuyu kuonyesha kwamba hakuna Ukabila?, Kwani kuoana kunaondoa ubaguzi au Ukabila?, umeishiwa Wewe. Kenya ninyi Ukabila utawamaliza, pia ninyi ni wabaguzi sana. Vipi kumtenga na kumbagua raia wa nchi moja, rangi moja ya ngozi, eti kwasababu tu Sio kabila lako unamtenga katika kupata kazi, Elimu na Huduma zingine za kijamii, hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si mtakufa na njaa yenu
Hiyo KQ inakuja mara 47 kwa wiki itakaa juu ya magogo
Acha kabisa mawazo hayo watakupiga wakikuyu wenzio

Sio mara ya kwanza kufungiana mipaka, humu nilishaanzisha uzi ambao ulidhihirisha kitaalam kwamba hatutapoteza sana tukiwatupia nje nje.
Hamna kikubwa mnachotunufaisha nacho zaidi ya kujaza omba omba wenu wachafu kwenye barabara zetu.
 
umekosa hao wajaluo na wakikuyu ndoani kukosana kw ajili ya ukabila...nionyesshe hao watu nitupie link ya hao black americans nifunge account jf...case closed
 
Sio mara ya kwanza kufungiana mipaka, humu nilishaanzisha uzi ambao ulidhihirisha kitaalam kwamba hatutapoteza sana tukiwatupia nje nje.
Hamna kikubwa mnachotunufaisha nacho zaidi ya kujaza omba omba wenu wachafu kwenye barabara zetu.
ila mbona nyie ndo mnaoongoza kulialia kwamba ndo mnaonewa kila siku na si wa Tanzania.....teh
 
ila mbona nyie ndo mnaoongoza kulialia kwamba ndo mnaonewa kila siku na si wa Tanzania.....teh

Wapi tumelia...ningekua rais aisei ningeyafanya maamuzi ya ajabu ya kama Kim wa Korea Kaskazini. Huu uchafu wenu siwezi kuuendekeza, yaani rais Uhuru ananiudhi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…