Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Wapi tumelia...ningekua rais aisei ningeyafanya maamuzi ya ajabu ya kama Kim wa Korea Kaskazini. Huu uchafu wenu siwezi kuuendekeza, yaani rais Uhuru ananiudhi sana.
unaona sasa unatoa chozi kubwa zima
 
Aaaaaah kumbe ni wale wanaume huchapwa wanne wanne na mkenya mmoja
 
Acha upuuzi wewe; katiba mpya imewasaidia nini kila kukicha mnaibiwa tu.
 
Yaani sipati picha Defender zilivyokuwa zinatoka ARS huko kwa kasi
 
Good ideas,mkenya wa kwanza ambae umeongea facts kama wazo langu.Nashkuru kupata mtu mwenye upeo mkubwa.
Note.wenye akili tumekuwa wawili now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu ya umma ni kitu cha muhimu sana. Wakenya huwa hawana mzaha ikifika kwenye masuala kama haya. Najua vijana wa Sirro hawatadhubutu tena kufanya upuuzi kama huo.
Mchochezi kenge sikupendi kama vyama vya kufa na kuzikana
Nguruwe pori wewe sisi tunatafuta namna tuwe salama wewe unachochea shetani wewe narudia tena shetani.shame of you afu utakuw sio mkenya utakuw msomali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya haya yote ni nini?!?!?
 
Mchochezi kenge sikupendi kama vyama vya kufa na kuzikana
Nguruwe pori wewe sisi tunatafuta namna tuwe salama wewe unachochea shetani wewe narudia tena shetani.shame of you afu utakuw sio mkenya utakuw msomali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka tupendane ndio nikupe mhogo au? Kafie mbali na huo uboflo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…