Kenyans denied entry to Uganda too

Hivi Wakenya hamuoni kuwa hamtakiwi na nchi za zingine za EAC?mna'ngang'ania nini?
 
MK254 hamtakiwi potepote.....Mtulie kwenu sasa.

Sijahangaika kutazama hiyo video, ila ndio kitu nimekisema toka mwanzo, tatizo Watanzania huwa mko slow kuelewa chochote, na hii ndio ilisababisha mtengwe kuanzia SADC hadi EAC.
Kwamba kila mtu akae kwao, na kama unang'ang'ania kwenda kwenye nchi za watu, kubali kufuata masharti yao, wakisema wakushikishe ukuta na kuchomeka dushe aidha ukubali au ukikataa basi geuza urudi kwenu.
Sasa nyie wiki sijui ngapi sasa mumelilia kwenye mipaka yetu hadi dakika za mwisho mumekubali mtakua mnapimwa.
 
Wewe ni shida.

Nasikia no more lockdown huko kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 





MY TAKE
Kila neighbor anachukia Nyang'au! Now central corridor should up their game n step in maana huko Northern corridor kuna nyang'au kapakatwa na kuliwa kiboga na mabasha wawili huko! 😀😀😀


#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Sodomized? Hehehe mwaka huu mikenya lazima izae na EastAfrica Duuuh!!
Halafu ona alivyojibiwa.

Siwalaumu Uganda maana wamejifunza kutoka kwa bingwa wa Xenophobia EAC! zile kelele za Watanzania wanapeleka coronavirus Kenya zinajirudia Uganda ila zikielekezwa kwa wale mabingwa yaani Wakenya.

Malipo ya dhambi zao hapahapa!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…