Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MK254 hamtakiwi potepote.....Mtulie kwenu sasa.
Sijahangaika kutazama hiyo video, ila ndio kitu nimekisema toka mwanzo, tatizo Watanzania huwa mko slow kuelewa chochote, na hii ndio ilisababisha mtengwe kuanzia SADC hadi EAC.
Kwamba kila mtu akae kwao, na kama unang'ang'ania kwenda kwenye nchi za watu, kubali kufuata masharti yao, wakisema wakushikishe ukuta na kuchomeka dushe aidha ukubali au ukikataa basi geuza urudi kwenu.
Sasa nyie wiki sijui ngapi sasa mumelilia kwenye mipaka yetu hadi dakika za mwisho mumekubali mtakua mnapimwa.
Naskia???

Halafu ona alivyojibiwa.Sodomized? Hehehe mwaka huu mikenya lazima izae na EastAfrica Duuuh!!