Kenyans denied entry to Uganda too

Sema kwanza jinsi tulikubaliana,yani maletewa RC anawapiga mikwara hadi mnafyata mikia.
vipi lakini jana ile mishale ya pua mmeshasuluhishana au vipi,maana badala mpigane na corona mnapigana mishale,mashemeji zetu bhana,ila haina shida dada zenu huku tunawatunza hadi wanazidi kunona,baada ya Corona tunawatumia nauli mje huku kutembea kwa mashemeji zenu,msalimie na dada zenu.
TZ Social distance, KNY Social arrow,Olkokolanism is not good for you.
 
Haya matukio kwenu ni kawaida, ebu huyu Mtanzania kafumwa mshale mdomoni kule Morogoro

https://www.facebook.com/
a
 
Mbona tulikwambia matukio kama hayo hata huku kwetu yapo ikla siu kiwango cha juu kama hicho,tunachokwambia sisi ni kwamba mnatakiwa kupambana na Covid 19 si kupigana mishale wenyewe kwa wenyewe,yani mmefanya mambo yta ajabu kuliko Corona,nyie viboko.
 
Nyie matukio ya kwenu huwa balaa, kwa mfano kutafuna minofu ya albino haiko kwenye nchi nyingine dunia yote ila kwenu, n ndio maana mumelaniwa kubaki maskini wa kutupwa siku zote licha ya kuwa na raslimali kuzidi taifa lolote Afrika.
 
Mambo ya Maalbino mzee unaongelea mambo ya miaka kumi ilopita,pambaneni na corona mishale ya nini wakati hali yenyewe mbaya,hivi nyie mashemeji zenu mna nini,au tuwarudishe tena dada zenu nyumbani ndo mpate adabu,ila ni wivu tu.
Vipi ukabila nadhani mshaumaliza,unajua dhambi kama dhambi ya ukabila hata shetani hausiki nayo.
 
Watu mnadai mnajifungia ndani mkipambana na corona kumbe mko mnarushiana mishale.
Mungu awasamehe tu,sa si mngesema tu mpo mitaani kuliko kudai mnapigana na corona,au corona ndo nyie kwa nyie ?
 
Mnawatafuna hadi leo, haswa kipindi cha uchaguzi eti ndio mpate ushindi kwenye kura.
Juzi mumetafuna watoto mkoa fulani huko, roho zenu nyeusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…