Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kwanza jinsi tulikubaliana,yani maletewa RC anawapiga mikwara hadi mnafyata mikia.Sijahangaika kutazama hiyo video, ila ndio kitu nimekisema toka mwanzo, tatizo Watanzania huwa mko slow kuelewa chochote, na hii ndio ilisababisha mtengwe kuanzia SADC hadi EAC.
Kwamba kila mtu akae kwao, na kama unang'ang'ania kwenda kwenye nchi za watu, kubali kufuata masharti yao, wakisema wakushikishe ukuta na kuchomeka dushe aidha ukubali au ukikataa basi geuza urudi kwenu.
Sasa nyie wiki sijui ngapi sasa mumelilia kwenye mipaka yetu hadi dakika za mwisho mumekubali mtakua mnapimwa.
Sema kwanza jinsi tulikubaliana,yani maletewa RC anawapiga mikwara hadi mnafyata mikia.
vipi lakini jana ile mishale ya pua mmeshasuluhishana au vipi,maana badala mpigane na corona mnapigana mishale,mashemeji zetu bhana,ila haina shida dada zenu huku tunawatunza hadi wanazidi kunona,baada ya Corona tunawatumia nauli mje huku kutembea kwa mashemeji zenu,msalimie na dada zenu.
TZ Social distance, KNY Social arrow,Olkokolanism is not good for you.
Haya matukio kwenu ni kawaida, ebu huyu Mtanzania kafumwa mshale mdomoni kule Morogoro
a![]()
Haya matukio kwenu ni kawaida, ebu huyu Mtanzania kafumwa mshale mdomoni kule Morogoro
a![]()
Mbona tulikwambia matukio kama hayo hata huku kwetu yapo ikla siu kiwango cha juu kama hicho,tunachokwambia sisi ni kwamba mnatakiwa kupambana na Covid 19 si kupigana mishale wenyewe kwa wenyewe,yani mmefanya mambo yta ajabu kuliko Corona,nyie viboko.
Mambo ya Maalbino mzee unaongelea mambo ya miaka kumi ilopita,pambaneni na corona mishale ya nini wakati hali yenyewe mbaya,hivi nyie mashemeji zenu mna nini,au tuwarudishe tena dada zenu nyumbani ndo mpate adabu,ila ni wivu tu.Nyie matukio ya kwenu huwa balaa, kwa mfano kutafuna minofu ya albino haiko kwenye nchi nyingine dunia yote ila kwenu, n ndio maana mumelaniwa kubaki maskini wa kutupwa siku zote licha ya kuwa na raslimali kuzidi taifa lolote Afrika.
Watu mnadai mnajifungia ndani mkipambana na corona kumbe mko mnarushiana mishale.Hata nyie mna vituko balaa juzi nimeona kupitia Channel ya Millard Ayo jinsi mwanaume alivyomuua mkeo.Vituko vipo mingi tu ata uko kwenu usijifanye nyie ni Wasafi sema tu mnapenda kuficha ukweli lakini napenda sana Millard Ayo na channel yake kwa kutoa habari ambayo media zenu zinapenda kuficha
Mambo ya Maalbino mzee unaongelea mambo ya miaka kumi ilopita,pambaneni na corona mishale ya nini wakati hali yenyewe mbaya,hivi nyie mashemeji zenu mna nini,au tuwarudishe tena dada zenu nyumbani ndo mpate adabu,ila ni wivu tu.
Vipi ukabila nadhani mshaumaliza,unajua dhambi kama dhambi ya ukabila hata shetani hausiki nayo.
Jacob JumaNyie mnajifanya na vile mnawanyanyasa opposition leaders bila hatia mpaka yule comedian.Wanaccm miroho nyeusi tunawajua nyie