Kenyans deported from Tanzania encounter difficult times

Like that

Lile basi la Simba mtoto lililochomwa moto Lamu kwa vile lina plate number ya Tanzania si Xenophobia?
Wewe mnafik, get your facts right. Basi lilichomwa Malindi, wala si Lamu. Afu lilichomwa baada ya kugonga bodaboda na kuua 'rider' wake. Basi lenyewe lilikuwa na plate number za Kenya, na lilikuwa la mkenya. Ulipoona limeandikwa tu Simba ulipandwa na nyege kama kawa au?
 
pledged what you never delivered,morons
 
Acha kulialia, everything is clear, Tanzania is for Tanzanians, Kenya is for Kenyans.
Sasa omba omba wenu wametapakaa kwenye miji yetu huku Kenya kwanini? Nimekumbuka, ni kwasababu nyie watz na unafik wenu hata shilingi ishirini tu kuwaachia inakuwaga ni shidaaa!
 
mie nilikuwa natuma mizigo sana pande za arusha na vile kupokea mizigo kutoka pande hizo,walakini business environment imebadilika mno tokea lizee upara aingie madarakani
 
wewe lofa kenyatta hana wakati na hilo lizee lilojaa majungu na chuki
Umeona Geza Ulole akiwadanganya wenzake live eti lile basi lililochomwa Malindi, yeye anasema Lamu, eti lilikuwa la mtz. Hata kwenye picha tu lilikuwa linaonekana live na number plate za Kenya. Anajifanya eti ni kwasababu lilikuwa limeandikwa simba wakati ni unafik tu unamsumbua. Waache hawa wanafik na chuki zao na wivu wao na uchawi wao. Tutaendelea kuwapiga bao tu kama kawa, kama dawa milele na milele. Amina.
 
pipeline,kwikwikwi😀😀😀..inajengwa lini,wachawi roho zakuoza nendeni mrambe matako ya mcanada muachiwe angalau pangaboi yenu,shenji😀
 
Sasa omba omba wenu wametapakaa kwenye miji yetu huku Kenya kwanini? Nimekumbuka, ni kwasababu nyie watz na unafik wenu hata shilingi ishirini tu kuwaachia inakuwaga ni shidaaa!
Fukuze wote kama tulivyowatimua nyinyi
Huwezi ishi katika nchi za watu bila utalatibu hafu tutakwacha salama
 
wewe lofa kenyatta hana wakati na hilo lizee lilojaa majungu na chuki
mie nilikuwa natuma mizigo sana pande za arusha na vile kupokea mizigo kutoka pande hizo,walakini business environment imebadilika mno tokea lizee upara aingie madarakani
Hehehe MAGUFULI lazima awanyooshe wale wote wavunja sheria fuata sheria ndio salama yako kufanya biashara Tanzania Dodoma University kuna zaidi ya wakenya 1000 wanasoma pale na wakishagraduate tutafanya instant deportation wakasugue lami huko Kenya no easy job for Kenyans in Tanzania
 
Sasa omba omba wenu wametapakaa kwenye miji yetu huku Kenya kwanini? Nimekumbuka, ni kwasababu nyie watz na unafik wenu hata shilingi ishirini tu kuwaachia inakuwaga ni shidaaa!
Nchi yenu ni omba omba, it attracts omba omba, Tanzania attracts investors and professionals[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mie nilikuwa natuma mizigo sana pande za arusha na vile kupokea mizigo kutoka pande hizo,walakini business environment imebadilika mno tokea lizee upara aingie madarakani
Na bado, itaendelea kubadilika zaidi, now we mean business, very serious business.
 
Tutaendelea kuwafukuza kama msipofuata taratibu za Tanzania, we don't need you the way you need us.
 
I am actually sad at this hostility btw the two countries...Personally, I have partnered with a good Kenyan friend for over a decade now in conducting a business in Nairobi .I lived in and went to school in Kenya during certain periods of my life. I have a good number of friends from there. My kids go there on holiday and my friends kids vice versa.I know some Kenyan teachers in higher levels of learning who live and work in Tz peacefully..One of my inlaws is married in Kenya for years now..I have never encountered any hostility while there or while conducting business..I guess my experience is rare and the business person in me realizes diplomacy helps me achieve profit...

I wish there were better relations btw the two countries...

Maybe the ones deported are not legal?
 
Impact some basic education into your chicken shit brain of your media and some many silly folks like you.
Kuna wakenya wengi wanaishi huku na tunafahamiana nao na wameajiri wakenya na watanzania wanafanya kazi wengine wa nakuja kuchill tu etc. Hawajawahi kuwa bothered because wapo legally, sheria ni msumeno, kama ulizembea hukufuata sheria, msumeno utakukata tu, hatutaki mambo ya kihuni huni huku kama kwenu. Discipline lazima iwepo, ili nchi isonge mbele. Mambo ya kuchukulia kila kitu poa huzaa hasara badae.
Kwa iyo fanyeni mnalotaka.
 
Acha longolongo zako. Rudi kwenye mada hapo juu uisome upya, polepole mara tatu, kisha urudi tena na kiherehere chako kucomment.
 

You are the rare gem on this JF from the other side of the divide assuming you are a Tanzanian just by your narration. So then having experiences of both worlds as it were,you can attest to it that most bongo bloggers here are stuck in that age-old narrative that Kenya is the hell on earth! Most Kenyans will never bother you unless you bother them and in any case they're very quick to cite legal procedures for any stalemate (after all we are the most litigious citizens on earth). We don't have that snooping habit but busy making our lives happen and in the process developing Kenya. Hard work!
 
Well, I can only speak my truth...apart from the odd stare here and there when they realize am from Tz...nothing majorly foul to report....I have read and heard stories of all sorts but never experienced it personally...
 
Nimejua kwa nini unachukia Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…