Kenyans facing extreme hunger is expected to increase to 2.5 million

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,039
Hello Ladies and gentlemen,

It has been reported that high rising food prices occasioned by poor harvests is shining the spotlight on the reality that Kenya is far from fulfilling the promise in the constitution that every person has the right to be free from hunger and to have adequate food for acceptable quality. While the present food crisis is largely being blamed on delayed and below average long rains, the problem of food insecurity has persisted with lack of strategic planning and actions as big a role as severe climatic conditions and overreliance on rained-fed agriculture.

Frankly speaking, kuna haja ya kuwasaidia hawa majirani zetu ili waondokane na hili suala la njaa. Siyo jambo njema kumuona jirani yako anateswa na njaa wakati una chakula kingi sana kwenye ghala. Tatizo hili limekuwa chronic sana kwa majirani zetu kwa sababu tangu mwaka 1960 mpaka sasa ajirani zetu wanateswa sana baa la njaa.

Ahsanteni.
 
Tumeanza kuwapelekea huo mzigo. Huwezi kuchagua jirani, Mungu ndiye aliyetuchagulia huyu jirani, hatuwezi kumuacha ateseke.

Kesho tunategemea Magufuli kutangaza chakula kingi zaidi kwa Kenya, pia ninadhani Uhuru Kenyatta ameenda kuomba pamba kwa ajili ya kiwanda cha Rivatex alichokifungua hapo majuzi.
 
You have tried to write well in English. That is uncanny of a Danganyikan ama umecopy?
 
Tanzania to Sell 1 Million Tons of Corn to Drought-Hit Kenya

Kumbe ni kutuuzia vile tunawauzia pipi na toothpicks, nilifikiri tunapewa bure.... I am very disappointed by our southern neighbor who always claims to be generous to their neighbors.

Watupe bure msaada Kama kweli hawakuli kinyesi.
 
Tanzania to Sell 1 Million Tons of Corn to Drought-Hit Kenya

Kumbe ni kutuuzia vile tunawauzia pipi na toothpicks, nilifikiri tunapewa bure. I am very disappointed by our southern neighbor who always claims to be generous to their neighbors.

Watupe bure msaada Kama kweli hawakuli kinyesi.
Hahahaha, huko kwenu kuna viongozi washenzi sana, tukiwapa bure watayachukua na kuwauzia wananchi, mkitaka tuwape bure, lazima tulete watanzania washiriki kusambaza bure hayo mahindi kwa wananchi masikini kule Turkana na Samburu.
 
Sikujua hivyo. Mkianza kusambaza unitag tafadhali pia Mimi nipate mlo, sijakula karibia siju tatu hata nawaza kula kinyesi Kama wale was kwenu...Hebu nipe tarehe kamili.
 
Hamna uwezo huo, sisi ndio tunawapa misaasda. Serikali yenu yenyewe inalifahamu hilo
Hahahaha, huko kwenu kuna viongozi washenzi sana, tukiwapa bure watayachukua na kuwauzia wananchi, mkitaka tuwape bure, lazima tulete watanzania washiriki kusambaza bure hayo mahindi kwa wananchi masikini kule Turkana na Samburu.
 
Sikujua hivyo. Mkianza kusambaza unitag tafadhali pia Mimi nipate mlo, sijakula karibia siju tatu hata nawaza kula kinyesi Kama wale was kwenu...Hebu nipe tarehe kamili.
Hatuna masharti makubwa, muhimu mkubali kwamba Tanzania ndio baba lao katika ukanda huu, kama ambavyo Uhuru amegundua na kuamua kwenda kuungama. Haijawahi kutokea rais wa Kenya kwenda kumtebelea rais wa Tanzania kijijini kwake, hii ni dalili ya kwamba Uhuru amegundua "can't fight Tanzania"
 
Kumbe nyinyi ndio baba lao LDC? Hapo hatuwezi bisha mkuu hata Uhuru amekuja kuwahakishia kuwa hatuwapokonyi Hilo title and "can't fight Tanzania" .

Asante Sana kwa kuweka wazi ukweli.
 
Hatuna masharti makubwa, muhimu mkubali kwamba Tanzania ndio baba lao katika ukanda huu, kama ambavyo Uhuru amegundua na kuamua kwenda kuungama. Haijawahi kutokea rais wa Kenya kwenda kumtebelea rais wa Tanzania kijijini kwake, hii ni dalili ya kwamba Uhuru amegundua "can't fight Tanzania"
Kumbuka vile mlipatwa na tetemeko la ardhi hapo Kenya ikatuma msaada kwa magari ya kijeshi? Kumbuka nani ana budget kubwa na uchumi mkubwa ukanda huu?
 
Hahahaha, huko kwenu kuna viongozi washenzi sana, tukiwapa bure watayachukua na kuwauzia wananchi, mkitaka tuwape bure, lazima tulete watanzania washiriki kusambaza bure hayo mahindi kwa wananchi masikini kule Turkana na Samburu.

Ina maana wakenya wanaweza kunywa uji hata wa mgonjwa?
 
Back
Top Bottom