Kenyans in Tanzania to be evacuated on Monday 11, 2020

Kenyans in Tanzania to be evacuated on Monday 11, 2020

Unawashwa na kwahiyo unatafuta basha kwa nguvu, au?! Au una frustration zilizosababishwa na mumeo na kwahiyo frustration zako unazihamishia JF?
LOL kwa hayo mahaba unayowalilia nayo wakenya you just made me suspicious, how can an adult male behave like that? Are they sustaining your existence or something?
 
LOL kwa hayo mahaba unayowalilia nayo wakenya you just made me suspicious, how can an adult male behave like that? Are they sustaining your existence or something?
Oh Lord... nilikujia juu bure kumbe tatizo ni uelewa mdogo!! Uzuri ni kwamba, wenye akili wote wanajua nimemaanisha nini!

Pole sana... endelea hivyo hivyo kusoma kila post ya JF kama unavyosoma magazeti ya udaku!!
 
Stop acting like that
I have told you.
 
Wakenya vibaya hivyo!

Hivi nyinyi na sisi si dugu moja?! Kwa miaka na dahari tume-share machungu na matamu pamoja!

Osama kawatandika mabomu, akaona na sisi atutandike at the same time ili tuomboleze pamoja!

Leo hii mnatukimbia ndugu zetu; kweli?!

Yaani miaka yote hii tumefurahi pamoja, leo hii kikombe cha nyungu mnatuachia peke yetu?! Are you serious?!

Yaani, I can't believe this! Wait... yaani mnamaanisha kama tuna mahaba na changamoto za kupumua, mahaba haya tubaki nayo peke yetu, au?!

Amini amini nawaambia, ndugu yetu wa kweli Afrika Mashariki ni Burundi pekee hata kama hatufanani kwa mengi!

Ni kweli Burundi ni ndg zetu kabisa maana hata strategy zetu za kupambana na Covid zinafanana kabisa na za Burundi na kwa sasa wagonjwa wameanza kufia majumbani mwao kwa kasi.
 
Safi sana ndugu zetu rudini nyumbani, huko tunaskia taarifa wameambukiza hadi mapaipai yaani sio salama, mara RC wa Dar anawaonya watu mikoani wasiende Dar maana watu wanakufa, halafu hata wabunge wamelimbikia bunge lao, sasa nani yuko salama.

Ukiangalia nyuzi zao za jukwaa la siasa ni mwendo wa tanzia tu, aisei njooni hata kama kirusi kiko mtaani huku lakini tunapambana kupima kila mtu ili kulinda tuwapendao, hatufanyi siri kama huko mliko.
Wameshaanza kuchoma matairi huko Korogocho. Na huu ni mwanzo tu, bado mafuriko ya Baringo na nzige wanaoendelea kuzaliana kwa maelfu. Nyie wakenya hebu tokeni hapa na mrudi kwenu haraka sana mkafie huko huko.
 
The Kenyan Embassy in Tanzania has given Kenyans who were stranded and are willing to be evacuated to register by Friday.

The embassy said that two buses which can carry 200 people have been acquired to facilitate transportation.

It said that those opting for air ticket will pay Sh.60, 000. However, they can still access subsidised quarantine services in Kenya. “The buses leave Dar on Monday May 11, 2020 at 6am. You need to register your name on or before Friday,” the Embassy said.

It added that “Those driving are also encouraged to use this synergy of exit facilitation.”

Those who are willing to return have been informed that they will be quarantined at government facilities for 14 days at subsided rates.

Kenya Diaspora Alliance (KDA) chairman Shem Ochuodho said that its high time the government followed the constitution by paying for people in quarantine.

"The constitution demands that the government should pay for people in quarantine and we will be writing to the government to remind them their role," Ochuodho said.

“People should not be forced to quarantine where they can’t afford. The government should be human,”

Ochuodho said that a number of people in diaspora survive on multiple jobs and having stayed home for more than two months leaves them poor.

He added that most people fear being quarantined since they do not know how long they will stay in the quarantine centres.

“Some stay their 14 days, which is extended to 21 and 28 days or even more,” Ochuodho said.

“It's supposed to be a collective responsibility between the government and people. The government must be human,” he said.

He also said that the government should address queries raised on testing kit and stop antagonizing the people from diaspora.

“We understand that the testing accuracy is only 80 per cent. we are not sure of what happens in the 20 percent inaccuracy,” he said.

He said many Kenyans in Tanzania and other countries are afraid of travelling back since airports are new breeding grounds for the virus.

"The logistics in quarantine are tricky and in fact, I can't rule out that you can be infected in the quarantine centres," Ochuodho said

Source: The Star
Two buses carrying 200 people?

Jr[emoji769]
 
Kuna kasoro hapo maana watapumuliana kirusi....serikali iache mzaha, iandae mabasi zaidi.
Hawana mabasi zaidi, alafu nina washkaji wakenya kadhaa ninaowajua, trust me, hawataki kurudi kenya hadi labda hii corona iishe.
Na wananiambia wapo wengi hawataki rudi, hizo basi zitachukua less than 200, ndio maana wakaamua kutumia buses mbili, they know.
Wamarekani hawataki kuondoka hadi balozi yao inaandika barua mara ya tatu kuwahisi, sembuse kenyans, utaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi hata mimi nisingerudi hivi hivi, ningetafuta namna ya kujitia lockdown yangu mwenyewe hapo Dar maana wenyewe huko mnaogelea kwenye kirusi, na hamuna wala kuonyesha mikakati yoyote dhidi ya hiki kitu, mpo mpo tu. Hivyo ningekua hiyo Tanzania, ningefanya jinsi baadhi ya wenye akili wamefanya huko, kunao wamejipiga lockdown wenyewe, yaani unakaa ndani mwendo wa movie series kibao, piga mazoezi ndani kwa ndani kila siku na kusubiri ukisklizia tanzia mnazotupia tupia kwenye mitandao, watu mnazikana hadi usiku na pia viongozi wanapukutika kwa kasi.
Halafu msosi unaagiza take away wanakuletea ila unakua makini wakati wa kupokea kama wanavyofanya ulaya.

Tatizo la huu usafiri au mojawapo wa sababu kwanini Wakenya watagomea na hata mimi ningeugomea, ni kwamba mkifika mnatiwa kwenye karantini za serikali, sasa hapo ndio mtihani maana serikali haijatolea taarifa vizuri kuhusu karantini zao ziko vipi, ingekua wanaachiwa kila mtu ajitie karantini yake kiana na afuatiliwe kwa ukaribu, hapo wangeng'ang'ania kuja.
 
Wakiondoka wasirudi hao,tutawatandika when they dare to bring their azzes back😊😊
 
Safi sana ndugu zetu rudini nyumbani, huko tunaskia taarifa wameambukiza hadi mapaipai yaani sio salama, mara RC wa Dar anawaonya watu mikoani wasiende Dar maana watu wanakufa, halafu hata wabunge wamelimbikia bunge lao, sasa nani yuko salama.

Ukiangalia nyuzi zao za jukwaa la siasa ni mwendo wa tanzia tu, aisei njooni hata kama kirusi kiko mtaani huku lakini tunapambana kupima kila mtu ili kulinda tuwapendao, hatufanyi siri kama huko mliko.
Kweli warudi tu kwenye kunya country! Angalia video hizi hapa!
 
Wakenya vibaya hivyo!

Hivi nyinyi na sisi si dugu moja?! Kwa miaka na dahari tume-share machungu na matamu pamoja!

Osama kawatandika mabomu, akaona na sisi atutandike at the same time ili tuomboleze pamoja!

Leo hii mnatukimbia ndugu zetu; kweli?!

Yaani miaka yote hii tumefurahi pamoja, leo hii kikombe cha nyungu mnatuachia peke yetu?! Are you serious?!

Yaani, I can't believe this! Wait... yaani mnamaanisha kama tuna mahaba na changamoto za kupumua, mahaba haya tubaki nayo peke yetu, au?!

Amini amini nawaambia, ndugu yetu wa kweli Afrika Mashariki ni Burundi pekee hata kama hatufanani kwa mengi!
natumai una ufahamu kuwa Wabongo kadhaa wamekimbilia Kenya kutafuta afueni kutorokea yanayoendelea kwenu? Usiniulize lipi ila nipe ufahamu vipi raia mwenzako ajiweke kwenye "risk" ya kupitia vichochorni hadi aje hospitali Kenyatta. Sijaskia Muhimbili eti ilifungwa
 
Nimesoma post yako mara mbilimbili lakini nimeshindwa kuelewa ulitaka kusema nini hasa!

What's your point, pal?!
 
Nimesoma post yako mara mbilimbili lakini nimeshindwa kuelewa ulitaka kusema nini hasa!

What's your point, pal?!
Pole, nikiyaweka bayana utahoji niko na ajenda tofauti.
 
Back
Top Bottom