Kenyans in Tanzania to be evacuated on Monday 11, 2020

Unawashwa na kwahiyo unatafuta basha kwa nguvu, au?! Au una frustration zilizosababishwa na mumeo na kwahiyo frustration zako unazihamishia JF?
LOL kwa hayo mahaba unayowalilia nayo wakenya you just made me suspicious, how can an adult male behave like that? Are they sustaining your existence or something?
 
LOL kwa hayo mahaba unayowalilia nayo wakenya you just made me suspicious, how can an adult male behave like that? Are they sustaining your existence or something?
Oh Lord... nilikujia juu bure kumbe tatizo ni uelewa mdogo!! Uzuri ni kwamba, wenye akili wote wanajua nimemaanisha nini!

Pole sana... endelea hivyo hivyo kusoma kila post ya JF kama unavyosoma magazeti ya udaku!!
 
Oh Lord... nilikujia juu bure kumbe tatizo ni uelewa mdogo!! Uzuri ni kwamba, wenye akili wote wanajua nimemaanisha nini!

Pole sana... endelea hivyo hivyo kusoma kila post ya JF kama unavyosoma magazeti ya udaku!!
Stop acting like that
I have told you.
 

Ni kweli Burundi ni ndg zetu kabisa maana hata strategy zetu za kupambana na Covid zinafanana kabisa na za Burundi na kwa sasa wagonjwa wameanza kufia majumbani mwao kwa kasi.
 
Wameshaanza kuchoma matairi huko Korogocho. Na huu ni mwanzo tu, bado mafuriko ya Baringo na nzige wanaoendelea kuzaliana kwa maelfu. Nyie wakenya hebu tokeni hapa na mrudi kwenu haraka sana mkafie huko huko.
 
Two buses carrying 200 people?

Jr[emoji769]
 
Kuna kasoro hapo maana watapumuliana kirusi....serikali iache mzaha, iandae mabasi zaidi.
Hawana mabasi zaidi, alafu nina washkaji wakenya kadhaa ninaowajua, trust me, hawataki kurudi kenya hadi labda hii corona iishe.
Na wananiambia wapo wengi hawataki rudi, hizo basi zitachukua less than 200, ndio maana wakaamua kutumia buses mbili, they know.
Wamarekani hawataki kuondoka hadi balozi yao inaandika barua mara ya tatu kuwahisi, sembuse kenyans, utaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Binafsi hata mimi nisingerudi hivi hivi, ningetafuta namna ya kujitia lockdown yangu mwenyewe hapo Dar maana wenyewe huko mnaogelea kwenye kirusi, na hamuna wala kuonyesha mikakati yoyote dhidi ya hiki kitu, mpo mpo tu. Hivyo ningekua hiyo Tanzania, ningefanya jinsi baadhi ya wenye akili wamefanya huko, kunao wamejipiga lockdown wenyewe, yaani unakaa ndani mwendo wa movie series kibao, piga mazoezi ndani kwa ndani kila siku na kusubiri ukisklizia tanzia mnazotupia tupia kwenye mitandao, watu mnazikana hadi usiku na pia viongozi wanapukutika kwa kasi.
Halafu msosi unaagiza take away wanakuletea ila unakua makini wakati wa kupokea kama wanavyofanya ulaya.

Tatizo la huu usafiri au mojawapo wa sababu kwanini Wakenya watagomea na hata mimi ningeugomea, ni kwamba mkifika mnatiwa kwenye karantini za serikali, sasa hapo ndio mtihani maana serikali haijatolea taarifa vizuri kuhusu karantini zao ziko vipi, ingekua wanaachiwa kila mtu ajitie karantini yake kiana na afuatiliwe kwa ukaribu, hapo wangeng'ang'ania kuja.
 
Wakiondoka wasirudi hao,tutawatandika when they dare to bring their azzes back😊😊
 
Kweli warudi tu kwenye kunya country! Angalia video hizi hapa!
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
natumai una ufahamu kuwa Wabongo kadhaa wamekimbilia Kenya kutafuta afueni kutorokea yanayoendelea kwenu? Usiniulize lipi ila nipe ufahamu vipi raia mwenzako ajiweke kwenye "risk" ya kupitia vichochorni hadi aje hospitali Kenyatta. Sijaskia Muhimbili eti ilifungwa
 
Nimesoma post yako mara mbilimbili lakini nimeshindwa kuelewa ulitaka kusema nini hasa!

What's your point, pal?!
 
Nimesoma post yako mara mbilimbili lakini nimeshindwa kuelewa ulitaka kusema nini hasa!

What's your point, pal?!
Pole, nikiyaweka bayana utahoji niko na ajenda tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…