simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Mujadala nani zaidi KE na TZ umefungwa rasmi leo. KE diaspora inatisha.Uraia pacha oyee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tourism tulimake $2.3B mwaka 2017 nakushangaa wewe sijui unazungumzia nnLet’s just say Kenyans abroad send more MONEY back home than what TANZANIA makes from the whole TOURISM INDUSTRY
Mujadala nani zaidi KE na TZ umefungwa rasmi leo. KE diaspora inatisha.Uraia pacha oyee.
Naona huelewi hesabu!.Tourism tulimake $2.3B mwaka 2017 nakushangaa wewe sijui unazungumzia nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Haizidi pesa ya utalii,Okey sorry niliover look pale.Utalii huku unapanda annuallyNaona huelewi hesabu!.
Kenya diaspora remittance mwaka jana ni $ 2.7B
Uongozi wa Kenya umeona mbali kweli.Watanzania tutabanana na kupapasana mifuko hapa hapa.Uraia pacha ndio dili, unakwenda na kuwa raia Marekani na kupiga mishe zako huko, kikubwa ni kwamba kama wewe Msukuma yaani Usukuma wako hautakutoka, tena utakumbuka kwenu kijijini siku zote, unatuma dollar znafanya mambo, wapo huku nawajua wamejenga nyumba za kukodi na aina nyingi za uwekezaji, siku akiamua kurudi nyumbani anatulia na kula vitu vyake.
Barick gold promised $300mln plus 16% shareholding to GoT. Right now they r paying more royalties plus more projects to CSR.
Tourism tulimake $2.3B mwaka 2017 nakushangaa wewe sijui unazungumzia nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Mli earn pesa ngapi last year kutoka kwa utalii?Haizidi pesa ya utalii,Okey sorry niliover look pale.Utalii huku unapanda annually
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona huelewi hesabu!.
Kenya diaspora remittance mwaka jana ni $ 2.7B
Wewe ni mzembe kiasi gani?. Umeshikwa na maumivu hadi huwezi kusoma.244$ vs $2.5b
Mbona wakenya ni Maraahira hivi..
Uraia pacha ndio dili, unakwenda na kuwa raia Marekani na kupiga mishe zako huko, kikubwa ni kwamba kama wewe Msukuma yaani Usukuma wako hautakutoka, tena utakumbuka kwenu kijijini siku zote, unatuma dollar znafanya mambo, wapo huku nawajua wamejenga nyumba za kukodi na aina nyingi za uwekezaji, siku akiamua kurudi nyumbani anatulia na kula vitu vyake.
Pwahahahahaha!!!
Wewe ni mzembe kiasi gani?. Umeshikwa na maumivu hadi huwezi kusoma.
Diapora remittance for 2018 was 2.7 Billon dollars.
Hatujaanza hii maneno leo, mwaka wa 2017, remittance was2.2 Billion dollars.
hamna mTanzania aliyeko nje anashindwa kufanya kitu kama hicho.
BINAFSI nikiitiwa msiba kijijini nakuwa miongoni wa watu wa mwanzoni kuchanga. hiyo ni mbali na capital budget za kuwekeza home.
Hapo Kwa exception ungeongeza customized exception... myException("Sorry, The compiler nolonger recognises the currency")try {//currency conversion code}
catch {overflow error exception}