Kenyans in the diaspora sent home $244 million (Sh24.82 billion) in December Alone!

Mujadala nani zaidi KE na TZ umefungwa rasmi leo. KE diaspora inatisha.Uraia pacha oyee.

Uraia pacha ndio dili, unakwenda na kuwa raia Marekani na kupiga mishe zako huko, kikubwa ni kwamba kama wewe Msukuma yaani Usukuma wako hautakutoka, tena utakumbuka kwenu kijijini siku zote, unatuma dollar znafanya mambo, wapo huku nawajua wamejenga nyumba za kukodi na aina nyingi za uwekezaji, siku akiamua kurudi nyumbani anatulia na kula vitu vyake.
 
Uongozi wa Kenya umeona mbali kweli.Watanzania tutabanana na kupapasana mifuko hapa hapa.
 
Barick gold promised $300mln plus 16% shareholding to GoT. Right now they r paying more royalties plus more projects to CSR.

Tourism tulimake $2.3B mwaka 2017 nakushangaa wewe sijui unazungumzia nn

Sent using Jamii Forums mobile app

Ifike hatua muwe mnawapa muda watoto wacheke,sio kila wakati mko nao mnaathiri makuzi yao.

Huyo anazungumzia 400bln akiifananisha na 4trn za utalii tz,halafu anataka mzungumze pamoja.
 
For example, while remittances per individual in Egypt are $2,105; Nigeria $1,295; Kenya $670 and Ethiopia $350 – ours is $290 per person(Tanzania).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello za kutawaza mashosho wa ulaya na kuosha mbwa hzo

Sent from my using Tapatalk
 
244$ vs $2.5b
Mbona wakenya ni Maraahira hivi..
Wewe ni mzembe kiasi gani?. Umeshikwa na maumivu hadi huwezi kusoma.
Diapora remittance for 2018 was 2.7 Billon dollars.
Hatujaanza hii maneno leo, mwaka wa 2017, remittance was2.2 Billion dollars.
 
hamna mTanzania aliyeko nje anashindwa kufanya kitu kama hicho.
BINAFSI nikiitiwa msiba kijijini nakuwa miongoni wa watu wa mwanzoni kuchanga. hiyo ni mbali na capital budget za kuwekeza home.
 
Wewe ni mzembe kiasi gani?. Umeshikwa na maumivu hadi huwezi kusoma.
Diapora remittance for 2018 was 2.7 Billon dollars.
Hatujaanza hii maneno leo, mwaka wa 2017, remittance was2.2 Billion dollars.

And your point is???
 
hamna mTanzania aliyeko nje anashindwa kufanya kitu kama hicho.
BINAFSI nikiitiwa msiba kijijini nakuwa miongoni wa watu wa mwanzoni kuchanga. hiyo ni mbali na capital budget za kuwekeza home.

Panua uwezo wako wa kuelewa halafu usome andiko langu mara kumi, wenzako wameelewa ninachosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…