Kenyans in UK demonstrate requesting Raila to go back home

Mbona hayo mabango yao ni ya ovyo ovyo tu ni kama yalitengenezwa hapa hapa tu mitaa ya River road, Nairobi?
 
Wakenya ama people of house of Mumbi mwenye ukabila?
 
wakenya au wafuasi wa jubilei waishio Uk

Wakenya wapenda amani lakini wale ambao hawapendi amani wanakimbia majukumu yao nyumbani na kwenda Ulaya baada ya kutapeli wananchi wanyonge michango ya kampeni kwa M-Pesa!!!!! Mtu anakimbia democracy kwani kura ni 26/10/2017 yeye anakimbia anawachia wapigania urais wengine saba kawa kama Maalim Seif kwa marudio ya Zenj!!! Dawa ni kwamba wale ambao wanashiriki watapigiwa kura na yeye mwache aendeleekutumbua pesa walizochanga masikini kwa M-pesa. Ulaya na Marekani watajua kuwa jamaa kakosa sera ndiyo maana kakimbia. Ukifuatilia tume ya uchaguzi, IEBC imejipanga vizuri sana baada ya kujumuisha pointi mpya 10 kama walivyoelekezwa na koti kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…