Kenyans risk being jailed for 12 months or paying KSh 2M for failing to refer to an MP as ‘Honorable

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Kenyans risk being jailed for 12 months or paying Sh2 million for failing to refer to an MP as ‘Honorable’ when addressing him or her.

The same applies to those who fail to refer to the President as ‘Your Excellency, the Speaker as ‘The Right Honourable Speaker of Parliament’ and a judge of the Supreme Court ‘Your Lordship’.

The Order of Precedence Bill, 2014 prepared by Eldas MP Adan Keynan (Kenya) said the titles will promote the image of the country by instituting order in State functions.

Do we need a similar law in #TANZANIA?
 
Duh! Hapana bwana hatuhitaji kuwatukuza hivyo. Ya tosh wa kwetu kuwaita ndugu!
 
kenyans risk being jailed for 12 months or paying sh2 million for failing to refer to an mp as ‘honorable' when addressing him or her.

the same applies to those who fail to refer to the president as ‘your excellency, the speaker as ‘the right honourable speaker of parliament' and a judge of the supreme court ‘your lordship'.

The order of precedence bill, 2014 prepared by eldas mp adan keynan (kenya) said the titles will promote the image of the country by instituting order in state functions.

Do we need a similar law in #tanzania?

f.uck them!
 
140425073159_kenya_mps_512x288_bbc_nocredit.jpg

WAKENYA wanakabiliwa na tisho la kufungwa jela miezi 12 (mwaka mmoja) au kulipa faini ya zaidi ya shilingi milioni 2 za Kenya, sawa na shilingi milioni 40 za Tanzania kwa kukosa la kutomuita Mbunge 'mheshimiwa' endapo mtu anaongea naye nchini humo. Sheria hiyo mpya iliyopendekezwa na wabunge wa Kenya, inalenga kuhakikisha kila kiongozi wa umma anatakiwa kupewa heshima anayostahili na wale watakaokaidi watapatwa na adhabu kali kwa kuvunja sheria hiyo.

Watakaovunja sheria hiyo watapata adhabu kali

Adhabu hiyo itawakuta wale watakaokosa kumpa Rais heshima zake kwa kumuita 'Mtukufu Rais', na kwa upande wa Spika wa bunge, ambaye anapaswa kuitwa 'Mheshimiwa Spika wa bunge'.

Katika mswada huo ambao uliwasilishwa na Mbunge wa bunge hilo, Adan Keynan, jana Alhamisi Aprili 24, mwaka huu, alisema kuwa, umuhimu wa sheria hiyo ni pamoja na kukuza sura ya nchi kwa kuanzisha utaratibu huo ili kuonyesha heshima kwa maafisa wa serikali nchini humo.

"Ni nzuri zaidi kwa lengo la kutoa kigezo cha heshima kwa aajili ya kuwapa maafisa wa serikali sehemu ya kuonyesha picha nzuri ya nchi, na kuwepo kwa mpangilio na maadili mema, '' alisema Keynan. Hata hivyo mzozo kati ya wabunge na magavana ukiendelea kutokota, mswada huo haujapendekeza chochote kuhusu cheo cha magavana ambao ni wakuu wa majimbo na watakavyoitwa kama ilivyopendekezwa mmoja wa wabunge hao.

Ikiwa mswada huo utakuwa sheria, cheo cha Mbunge kitakuwa juu zaidi kuliko cha Gavana, Majaji wa mahakama ya juu, Marais wa zamani na Makamu wa Rais.

Chanzo: Fikra Pevu
 
utawala wa sheria ndio maendeleo kwa mtu mwenye akili zilizo sawa huwezi fananisha akili za ccm na akili za wakenya:embarassed2:
 
Chanzo: FikraPevu
 
Ni yaleyale kwa viongozi wa africa hivyo ndivyo vipaumbele vyao jaman duuh!!!
 
umangi meza huu pambaf zao! mtu Sonko siwezi mwita Mheshimiwa au Shebesh
 
Hii ndiyo bangi ya viongozi wa Afrika. Hakuna la kushangaza hapa, ndivyo tulivyo. Na huu ni ushahidi kwamba ingawa hata katika nchi nyingine Afrika kuna matatizo, nchi zetu za Afrika Mashariki zinaongoza kwa sheria na vitendo vya ukandamizaji. Ati naona kama si kweli vile. Nani hakumbuki tulivyochangia mafuta ya kutembeza taa nchini (mwenge) huku tukiuchezea na kuukatia viuno usiku kucha utadhani dagaa wanachezea karabai? Bado, na naamini Waafrika bado wana undergo evolution. Hawajawa watu kamili.
 
Wakenya wanakabiliwa na
tisho la kufungwa jela
mwaka mmoja au kulipa
faini ya dola 23,000 kwa
kukosa kumuita mbunge
'mheshimiwa' unapozungumza naye
.
...samahani Waheshimiwa na Watukufu, wengi wenu wananchi wenu hawatambui kwa sura zenu! Sasa watajuaje kuwa wanaongea na Waheshimiwa? Kwavile nyie mnataka heshima hiyo, basi na wananchi wenu muwatendea haki kwa kupunguza mishahara yenu ni mikubwa mno! Mpaka wabunge wetu wa Tanzania wanaanza kuwaiga kwa kudai POSHO KUBWA ZA VIKAO KWA SIKU! Muda si mrefu na wakwetu Tanzania wataanza kudai kuwa jina la kuitwa Mheshimiwa iwe sheria!
 
One would expect the MPs to dwell on a more meaningful debate and not these side shows which don't add value.
 
Huyu ni Adan Keynan, Kutoka zile sehemu ambazo wao wenyewe huzitambua
kama, the marginalized areas.

Adan Keynan,
ni mtu ambae hupenda kua katika headlines wakati wote.

Yeye anatoka katika chama cha ODM,,,opposition,, na kazi yake kwa
hivi sasa ni kukosoa serikali lakini Kenya kwa wakati huu ni
kama hakuna upinzani.

Huu ni upuzi mtupu,,,heshima hutokana na matendo yako
mwenyewe lakini si kulazimisha watu eti wakuheshimu.

Wafanye hivi, kama wanazo nguvu zakutosha,, hata watulazimishe
tuwachangue wakati ujao.

Wengi wa viongozi ambao tunao kwa hivi sasa,,hata hawafaii kuongoza
kwao vijijini,,,washamba nambari moja.

Kwa hivi sasa,, Adan Keynan anataka heshima lakini wakati
wa uchanguzi, atabadilisha msimamo na kuchochea jamii
yake eti wao ni,,,,marginalized.

Bure kabisa.
 
Kenya itasalia kuwa mateka ya kelele mtupu ya vyombo vya dola. mishahara ilipopandishwa yote ilikuwa Sawa wakati huo. watanzania hawakuhojiwa pia na wakenya
 
"All animals are equal. But some animals are more equal than others." Kitabu cha Animal Farm kilimaliza kila kitu.., binadamu ni mtu wa ajabu sana ukimpa an inch atadai a mile..., yaani hivi ni nani mheshimiwa kati ya aliyemuweka mtu madarakani ili amtumikie au yule anayetumikia ndio muheshimiwa
 
Ifike wakati kwenye ballot paper kwenye kupiga kura.., iwepo na box la None of the Above sababu hawa under performing, overpaid prima donnas naona wanataka kuzidi na kulewa madaraka
 
Sisi walalahoi pia tunaitwa waheshimiwa!!!
Lakini hilo jina ni la muda tu,
Wakati wa kampeni tuu
Uchaguzi ukiisha.......
 
Back
Top Bottom