Kenyans Slavery Mind Series, Mkenya avalia sare za Prince William Kwenye Harusi Yake

Aisee vibaraka wa wazungu wamenishushia mapovu na mitusi kisa tu nimesema wao ni watumwa wa wazungu, Ikiwa Dunia nzima inafahamu Kenya bado iko utumwani kifikra, kiuchumi na kidiplomasia,
Hehehe. Truth always hurts, and is indivisible (Dr.Slaa)
 
Hahahaha, povu la maana,
Wakenya huwa mpo tayari hata kumpa ti.Go Mzungu, sijui huwa mnababaika na nini.
Mnatudharirisha sana watu weusi.

Huwa hamjioni mnavyoliwa T na waarabu huko...hehehe
 
Wanadhani Kenya iko irrelevant kama Tanzania. Mafala sana. Hata hicho Kiswahili wanachoringa nacho ni Kenya inayokipopularize all over the world. Sahii kila mtu duniani anajua neno Hakuna matata thanks to Kenyans.
acha uboya na kiswahili mnachokirape na maneno machafu mmepopulize hakuna matata kwani mna undugu na Timon and Pumbaa's
 
Aisee vibaraka wa wazungu wamenishushia mapovu na mitusi kisa tu nimesema wao ni watumwa wa wazungu, Ikiwa Dunia nzima inafahamu Kenya bado iko utumwani kifikra, kiuchumi na kidiplomasia,
Hehehe. Truth always hurts, and is indivisible (Dr.Slaa)
Dunia gani???...mbuzi hii huwezi tetea ujinga yako
 
Kitu nimegundua wengi wa wakenya wanaokomenti kwenye huu uzi ni malofa kweli,
Wanafikiri eti wazungu wanaipenda Kenya,
Hahahaha. Let me get back to work, endeleeni kutiririka, I will come right back to you, and address all your concerns,
Toady bootlickers.
 
Ujinga yako ukijiekea tutakuona mjanja..lakini ukiendelea kupost tunakujua vizuri..fala
 
No offence you dont need to be white or black to be ugly...its in the DNA...so better get used to it or find attractive mother of your chldren
 
Wanadhani Kenya iko irrelevant kama Tanzania. Mafala sana. Hata hicho Kiswahili wanachoringa nacho ni Kenya inayokipopularize all over the world. Sahii kila mtu duniani anajua neno Hakuna matata thanks to Kenyans.
Wewe nawe ni Kubwa jinga kweli, yaani ni sawa na kusema Deutsch imetangazwa Duniani kwa juhudu za Hungarians ama wapoland zaidi hata ya Wajerumani wenyewe.
You are just as stupid as other bootlickers.
 
Reactions: Oii
Wewe nawe ni Kubwa jinga kweli, yaani ni sawa na kusema Deutsch imetangazwa Duniani kwa juhudu za Hungarians ama wapoland zaidi hata ya Wajerumani wenyewe.
You are just as stupid as other bootlickers.
Kondoo
 
Nyie ni wanafiki kupitiliza. Be informed that you are first class hypocrites. Mbona wenzenu hujilinganisha na westerners? Likija swala la ngozi nyie mnachukia watu weusi ndio maana nikakuuliza are you whites?
 
No offence you dont need to be white or black to be ugly...its in the DNA...so better get used to it or find attractive mother of your chldren
How about your women ugly minds? Do you know the effects of siring a child with a bongolala?
 
Nyie ni wanafiki kupitiliza. Be informed that you are first class hypocrites. Mbona wenzenu hujilinganisha na westerners? Likija swala la ngozi nyie mnachukia watu weusi ndio maana nikakuuliza are you whites?
Twende taratibu mama mdogo, ninaamini kwa umri wako, Mimi ninaweza kuwa mtoto wako wa kunizaa, ndio sababu ninakuheshimu sana.

Everything too much is not good, hata wazungu wanawatania wenzao ambao ni white kupitiliza, wazungu wanapenda kuota jua ili ngozi iwe brown kidogo wapunguze ule weupe, hata watu weusi haipendezi ukiwa mweusi kama mkaa kama walivyo wakenya na South Sudan, kama nimekukwaza ninakuomba msamaha, wewe ni kama mama yangu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Mimi si kama nyoko yako you pervert. Wewe ni kama mjukuu wangu. Respect your elders you lad.
 
Wakati mwingine Pesa sio kila kitu mzee,
sasa hapo kakosea nini?
kataka harusi yake iwe unique.. kwa vile kavaa mavazi ya ki royal ndio iwe ukoloni?
mbona mnatumia simu za wazungu waliogundua ni ukoloni pia?

kitu kama kinamridhisha nafsi yake na hakidhalilishi utu wa mtu nadhani mtu anaruhusiwa kukidhi nafsi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…