game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
- Thread starter
- #41
Aisee vibaraka wa wazungu wamenishushia mapovu na mitusi kisa tu nimesema wao ni watumwa wa wazungu, Ikiwa Dunia nzima inafahamu Kenya bado iko utumwani kifikra, kiuchumi na kidiplomasia,
Hehehe. Truth always hurts, and is indivisible (Dr.Slaa)
Hehehe. Truth always hurts, and is indivisible (Dr.Slaa)