Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
And as a matter of fact Tanzania has very hideous men. Mihemko peleka bahari hindiTwende taratibu mama mdogo, ninaamini kwa umri wako, Mimi ninaweza kuwa mtoto wako wa kunizaa, ndio sababu ninakuheshimu sana.
Everything too much is not good, hata wazungu wanawatania wenzao ambao ni white kupitiliza, wazungu wanapenda kuota jua ili ngozi iwe brown kidogo wapunguze ule weupe, hata watu weusi haipendezi ukiwa mweusi kama mkaa kama walivyo wakenya na South Sudan, kama nimekukwaza ninakuomba msamaha, wewe ni kama mama yangu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]