Kenyans Starting To celebrate Their Music

Mnadhani nyie ndio mnakimiliki kiswahili? Unatarajia aimbe kwa lugha gani na amelelewa mombasa? Wabongo kiburi mtaacha
Ishu sio kiswahili kwani yeye ndo wakwanza kuimba kwa kiswahili huko kenya, ishu ni kwamba ka copy bongofleva tena ya kuungaunga mbona hata huku kuna wacongoman wanapiga mziki wa kwao huko ila kwa lugha yetu na huo muziki unabakia kua wa asili yao sie hatuna hata haja ya kusema ni muziki wetu......hio pia kwa wanaijeria/west africa mziki wa mahadhi yao anaweza kuimba mtu yeyote tu ila itajulikana huo mziki una identity ya hao jamaa......muziki wa huyo Otile hauna identity ya Mkenya ni pure Tanzanian bongofleva
 
uyo otile bongo hatumjui kizuri kitajulikana tuu ila uyo otile ata top 20 bongo haingii kama mnabisha semeni tuanze ligi
 
Tz is striving to include swahili as a means of instruction from primary to college now.
Slaves are those kids of yours you claim they speak only english
If speaking English is slavery then using anything that comes from the white man is also slavery. The jacket you are wearing now was made in China so you are a China 's slave. Furthermore there are a lot of kids in tz who speaks in English so they are also slaves according to your empty head
 
Wakenya naona mnajitutumua sana kufikia mziki wa bongo.....!
 
Bila Kenya hamna mziki bongo. .wasanii wenu wananyenyekea sana wanapokuja Kenya maana wanajua wana mashabiki wengi sana hapa Kenya
Hii iko wazi, msanii yeyote lazima awe mpole mbele ya mashabiki wake, maana hao ndo wanampa pesa! Ujanja wake woote unatakiwa kuonekana kwenye jukwaa tu

Angalia hata huko duniani wasanii wakubwa wanafanyaje wakiwa mbele ya mashabiki wao kwenye nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…