Sista Horn Kombe Masufuri
JF-Expert Member
- Sep 19, 2018
- 450
- 119
Kiswahili cha mombasa ambacho ni unique in it's own wayHuyo otile anaimba kwa lugha gani na swaga za wapi na huko ndo ana trend......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili cha mombasa ambacho ni unique in it's own wayHuyo otile anaimba kwa lugha gani na swaga za wapi na huko ndo ana trend......
Teh bongo fleva hio typical hata mkijaribu kupindisha mambo tena anaimba zile za ma underground kabisa kama enzi za mpenzi jiniKiswahili cha mombasa ambacho ni unique in it's own way
Mnadhani nyie ndio mnakimiliki kiswahili? Unatarajia aimbe kwa lugha gani na amelelewa mombasa? Wabongo kiburi mtaachaTeh bongo fleva hio typical hata mkijaribu kupindisha mambo tena anaimba zile za ma underground kabisa kama enzi za mpenzi jini
Ishu sio kiswahili kwani yeye ndo wakwanza kuimba kwa kiswahili huko kenya, ishu ni kwamba ka copy bongofleva tena ya kuungaunga mbona hata huku kuna wacongoman wanapiga mziki wa kwao huko ila kwa lugha yetu na huo muziki unabakia kua wa asili yao sie hatuna hata haja ya kusema ni muziki wetu......hio pia kwa wanaijeria/west africa mziki wa mahadhi yao anaweza kuimba mtu yeyote tu ila itajulikana huo mziki una identity ya hao jamaa......muziki wa huyo Otile hauna identity ya Mkenya ni pure Tanzanian bongoflevaMnadhani nyie ndio mnakimiliki kiswahili? Unatarajia aimbe kwa lugha gani na amelelewa mombasa? Wabongo kiburi mtaacha
Jiongeleshe tuu wakati ukweli unaujuaTz wanajifunza kingereza na ninaona siku za usoni watakuwa wakiimba kwa kingereza maana wakiendelea na bongo flava zao watakosa fans hapa Kenya. Kuna baadhi ya watoto hapa Kenya hawaelewi swahili sasa sioni wakiskiza ngoma za Tz in the near future.
mnachekesha sana yan 5 artist from tz in top ten artist af mnabwabwaja hapaTop 10 Trending Now only 2 from TZ.View attachment 876900View attachment 876903View attachment 876902Otile Brown is the Most Popular in Kenya..Na ndio ameenza..He has a GOOD FUTURE.
Ukweli upi?Jiongeleshe tuu wakati ukweli unaujua
Tz is striving to include swahili as a means of instruction from primary to college now.Yeah. Tz striving to learn English is slavery indeed
If speaking English is slavery then using anything that comes from the white man is also slavery. The jacket you are wearing now was made in China so you are a China 's slave. Furthermore there are a lot of kids in tz who speaks in English so they are also slaves according to your empty headTz is striving to include swahili as a means of instruction from primary to college now.
Slaves are those kids of yours you claim they speak only english
Bila Kenya hamna mziki bongo. .wasanii wenu wananyenyekea sana wanapokuja Kenya maana wanajua wana mashabiki wengi sana hapa KenyaWakenya naona mnajitutumua sana kufikia mziki wa bongo.....!
Bila Kenya hamna mziki bongo. .wasanii wenu wananyenyekea sana wanapokuja Kenya maana wanajua wana mashabiki wengi sana hapa Kenya
Nani mjingaIlaa jamaa ni mjinga wa kiwango cha lami kaaa
Kafata pesa kwani kaja kufanya shoo bure nyie mlipewaga mr.nice tu tena alivyoanzaga kuchujaBila Kenya hamna mziki bongo. .wasanii wenu wananyenyekea sana wanapokuja Kenya maana wanajua wana mashabiki wengi sana hapa Kenya
Na wanalipwa vizuri hapa kuliko bongoKafata pesa kwani kaja kufanya shoo bure nyie mlipewaga mr.nice tu tena alivyoanzaga kuchuja
Hii iko wazi, msanii yeyote lazima awe mpole mbele ya mashabiki wake, maana hao ndo wanampa pesa! Ujanja wake woote unatakiwa kuonekana kwenye jukwaa tuBila Kenya hamna mziki bongo. .wasanii wenu wananyenyekea sana wanapokuja Kenya maana wanajua wana mashabiki wengi sana hapa Kenya