Kenyans Starting To celebrate Their Music

Slowly plzzz
 
Finally otile,mbna pua tu.anajua ndio,ila apunguze kubana pua.AF kil song kumuimbia manz ambaye hampendi.awe anabadilika badilka na kuimba vitu vya maan ktk life.
 
Hahaha, hivi humjui STL? Anajulikana hadi marekani. Nyimbo zake zimetumika hadi kwenye movie za Hollywood. Nenda YouTube na usearch Lookie lookie usikie. Alafu kama umewatch advert ya Samsung S9, wimbo wake umetumika.
wakenya muwache wivu wa kishamba yani vanesa anachukua best female artist mfululizo ndo ukalinganishe na msanii kisa eti nyimbo yake ipo kwenye tangazo la samsung nimekuona mtu flani ambae hujielewi
 
Local music and gospel in Kenya has many views than secular music because many people don't support kenyan secular. Sauti sol ,shinski ,pozze,otile have songs that have more views than Vanessa's songs
embu screen short za uyo otile
tatizo wakenya kitu cha kawaida mnakikuza sana hivi uyo otile si ndio aliomba kiki kwenye nyimbo ya baraka der prince msanii wa kawaida sana uku tz then unamuwek top ivo yan uyo hata level ya Aslay bado alafu uchoki kumuongelea humu
 
Because of low self esteem. They feel Tanzania doesn't have nice places to shoot videos and your government likes living in denial. I'm told some video was banned for showing how poor and slummish Dar is? That's just pathetic.
I'm told.......hizo stori zenu mnapeana mkishajifungia kwenye hizo fulusuti zenu, huku mavideo ya uswazi fulu tu tafuta ngoma za singeli ama mchiriku uache habari za I'm told....
 
ifahamike tu kwamba bongofleva ndio aina ya mziki inayopendwa sana kwa sasa EA.

wanamziki wa bongofleva ndio wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii, pia nyimbo za bongofleva ndio zinzoongoza kwa namba kubwa ya views youtube.

kwa maana hiyo, wanachofanya wanamziki wa kenya wa kizazi cha sasa(millennials) ni kuishi katika usemi wa "if you can't beat them join them".

wamebaini kwa ni ngumu sana kuufunika mziki wa bongofleva kwa kutumia style zao za kikenya kama kapuka na genge.

so the only option left for them ni kuimba mtindo wa bongofleva(melody, beat na kiswahili nyenye madoido fulani ya kimahaba).
hilo ndio jambo analojaribu kufanya otile brown, willy paul, bahati, sudi na hata nyashinski.

tuchukue tahadhari, huko tunakoenda tusije tukashangaa siku moja mkenya mmoja akaandika article kuclaim kwamba bongofleva ni mziki wenye asili ya kenya. kumbukeni nyang'au huwa hana aibu anapotaka kujipatia sifa ambayo si yake.
 
Hilo nalo linahitaji kubishana ba wakati nilimuona jua kali akizungumzia hii kuwa mziki wa bongo ni tatizo kwa kenya

Kilicho angusha mziki wa kenya ni content wana producers wazuri shida ni vitu wanavyiomba havi make sense wabongo wanatunga mashairi na ujumbe unaeleweka..!
 
Kenya kuna huyu manzi anaitwa msupa S,huyo dem nin fala sana ukiskiza ngoma zake unaweza kucheka vbya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…