ifahamike tu kwamba bongofleva ndio aina ya mziki inayopendwa sana kwa sasa EA.
wanamziki wa bongofleva ndio wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii, pia nyimbo za bongofleva ndio zinzoongoza kwa namba kubwa ya views youtube.
kwa maana hiyo, wanachofanya wanamziki wa kenya wa kizazi cha sasa(millennials) ni kuishi katika usemi wa "if you can't beat them join them".
wamebaini kwa ni ngumu sana kuufunika mziki wa bongofleva kwa kutumia style zao za kikenya kama kapuka na genge.
so the only option left for them ni kuimba mtindo wa bongofleva(melody, beat na kiswahili nyenye madoido fulani ya kimahaba).
hilo ndio jambo analojaribu kufanya otile brown, willy paul, bahati, sudi na hata nyashinski.
tuchukue tahadhari, huko tunakoenda tusije tukashangaa siku moja mkenya mmoja akaandika article kuclaim kwamba bongofleva ni mziki wenye asili ya kenya. kumbukeni nyang'au huwa hana aibu anapotaka kujipatia sifa ambayo si yake.