Kenyans Starting To celebrate Their Music

Hii iko wazi, msanii yeyote lazima awe mpole mbele ya mashabiki wake, maana hao ndo wanampa pesa! Ujanja wake woote unatakiwa kuonekana kwenye jukwaa tu

Angalia hata huko duniani wasanii wakubwa wanafanyaje wakiwa mbele ya mashabiki wao kwenye nchi nyingine.
Kuna mwingine ambaye alitemea mashabiki mate.
 
Ni Justin Bieber alitemeana mate and he also refused to pose with his fans. Pia harmonize ana kiburi sana
Kenya kunani?

Chriss brown kaja Kenya kavunja simu ya mkenya,
Justin bieber kamtemea mate mkenya,
koff olomide kampiga mdenguaji wake akiwa kenya.
 
Justin Bieber hajawahi fika Kenya alitemea wenzake huko Canada. He is a brat though I love his songs.
Harmonize is so full of himself .sijui kwa nini hata diamond hana kiburi namna hiyo
 
Huyo harmonize atapta ujumbe wake maana ndg zake wako humu
 
Tz wanajifunza kingereza na ninaona siku za usoni watakuwa wakiimba kwa kingereza maana wakiendelea na bongo flava zao watakosa fans hapa Kenya. Kuna baadhi ya watoto hapa Kenya hawaelewi swahili sasa sioni wakiskiza ngoma za Tz in the near future.

5 out 10 trending artists in Kenya are Tanzanians, of those 10 two are Americans. Only 3 kenyans in top ten Kenyan chart. Acha kelele zisizo na msingi.
 
Uyo harmonize alikuja show 2 rivers jamaa analialia kwa stage instead ya kuperform..i will never attend any show from this bongo stars....Nliattend show ya Chronixx wa jamaica it was wow...any Jamaican artist never fails kenyans.
Justin Bieber hajawahi fika Kenya alitemea wenzake huko Canada. He is a brat though I love his songs.
Harmonize is so full of himself .sijui kwa nini hata diamond hana kiburi namna hiyo
 
Uyo harmonize alikuja show 2 rivers jamaa analialia kwa stage instead ya kuperform..i will never attend any show from this bongo stars....Nliattend show ya Chronixx wa jamaica it was wow...any Jamaican artist never fails kenyans.
Teh ulishoboka mwenyewe hizo mambo wanaimbiwa watoto wazuri ndo maana wanajazana hizo sio nyimbo za kusikiliza mtu alietoka kufukia githeri na avocado kwenye fulusuti
 
Hao wasanii wenu wangekuwa tz wangekuwa waimbaji wa kwenye vilabu vya gongo( local beer)
 
Uyo harmonize alikuja show 2 rivers jamaa analialia kwa stage instead ya kuperform..i will never attend any show from this bongo stars....Nliattend show ya Chronixx wa jamaica it was wow...any Jamaican artist never fails kenyans.
Jamaa ana kiburi sana na anadharau wasanii wa Kenya sana. Halafu na maringo yake alijisahau kabisa siku moja 10 over 10 akaanza kuzungumza kimombo. Angeongea swahili badala ya kujiaibisha live. He is improving though
 
Back
Top Bottom