Kenyans Starting To celebrate Their Music

Mtu mwenyewe unaemuongelea kumbe videos zake kufikisha hata 1m views taabu, huyo ana connections tu ila kwenye ulimwengu wa mziki kapuku saana, View attachment 882381View attachment 882382akija kwa bongo nae atakua underground tu
You don't judge musicians solely based on YouTube views. Again, there are multiple videos on YouTube of some songs. You can choose to choose the least viewed and bring it here. For instance, in your post the song Haba haba has only 378k views, here it has 2.1M view.
Screenshot_2018-09-30-16-30-00.png
 
You don't judge musicians solely based on YouTube views. Again, there are multiple videos on YouTube of some songs. You can choose to choose the least viewed and bring it here. For instance, in your post the song Haba haba has only 378k views, here it has 2.1M view.View attachment 882400
Hio nina sababu ya kuitoa sio kwamba sikuiona nilisaka vichupa official alivyosimama mwenyewe, hio video uliyoleta hata yeye mwenyewe hajaiweka kwenye akaunt yake ya huko youtube kwake kaweka hio habahaba yenye 378k views ambayo ndo inaonyesha hali halisi yakee sio vitamasha vya kudandia, ila hata ukiiweka bado kapukuuu hapo anakua na vivideo vi 2 tu teeeh...., views pia huonyesha ukubwa wa fanbase yako yani huyo pamoja na kuishi norway ila bado kapuukuu
 
Mtu mwenyewe unaemuongelea kumbe videos zake kufikisha hata 1m views taabu, huyo ana connections tu ila kwenye ulimwengu wa mziki kapuku saana, View attachment 882381View attachment 882382akija kwa bongo nae atakua undergr ound tu
Local music and gospel in Kenya has many views than secular music because many people don't support kenyan secular. Sauti sol ,shinski ,pozze,otile have songs that have more views than Vanessa's songs
 
Teh Vanesa ni kama mfano tu kuna wakubwa zaidi yake hapahapa bongo shida ni kwamba yeye mwenyewe anawatoa knockout hao makapuku wenu mnaokuja kutupigia kelele humu , wasanii wa Kenya wanaoeleweka kwa sasa ni Sauti sol tu ,wengine waliobaki bora maisha yaende tu hamna cha ajabu/maana
 
Acha dharau najua mna wengine akina wasafi members na wengine wengi.
Nilikuwa najaribu kukuonesha kwamba Vanessa hatambulikani Kenya kama hao niliowataja hapo juu
 
Local music and gospel in Kenya has many views than secular music because many people don't support kenyan secular. Sauti sol ,shinski ,pozze,otile have songs that have more views than Vanessa's songs
Local music because of tribalism that's why there is more support, I was surprised to realize that Kenya you have radio stations for each big five tribes.

There is cover of Kwangwaruu of Harmonize and Diamond almost for each big five tribe of Kenya, and you think you can get away from tribalism?.
 
Acha dharau najua mna wengine akina wasafi members na wengine wengi.
Nilikuwa najaribu kukuonesha kwamba Vanessa hatambulikani Kenya kama hao niliowataja hapo juu
Hata msipomtambua views zinatambua, nyie bakini na hao makapuku wenu wanaoishia kusikika hapo kibera tu 1k views hata sisi hapana tambua hizo takataka zenu
 
Ninachomaanisha ni kwamba show za kenya wanalipwa vizuri kuliko za Tz.
Halafu linapokuja swala la uungwana sidhani kama harmonize ni mmoja wao. Huyu msanii ana dharau kupindukia.
Rayvanny na nandy ni watoto wazuri
Ofcoz, msanii akitoka njee ya mipaka yake charges zinakua kubwa. Ata sauti sol na Nyashiski waki piga show Dar wanavuta pesa zaidi. Hiyo ni kawaida kabisa. Ila kwa ujumla wasanii wabongo wanalipwa zaidi kuliko wakenya hili siyo la kubishana ni fact ndiyo maana unaona wana uwezo wa kulipa zaidi ya Usd laki moja just to shoot a video na kujenga majumba.
 
Why do they like to shoot their videos in other countries?
 
Sababu kama Hollywood movies ambavyo kuna scenes za Hawaii budapest, Paris, Beijing e.t.c. Inshort wanapesa za kufanya hivyo, wana shoot home na abroad. Ata artist wakenya wakipata pesa nyingi watafanya hivyo. The likes of Davido, Wizkid, Yemi alade pia wanafanya hivyo.
 
Because of low self esteem. They feel Tanzania doesn't have nice places to shoot videos and your government likes living in denial. I'm told some video was banned for showing how poor and slummish Dar is? That's just pathetic.
 
Sababu kama Hollywood movies ambavyo kuna scenes za Hawaii budapest, Paris, Beijing e.t.c. Inshort wanapesa za kufanya hivyo, wana shoot home na abroad. Ata artist wakenya wakipata pesa nyingi watafanya hivyo. The likes of Davido, Wizkid, Yemi alade pia wanafanya hivyo.
What are you insinuating?
That Kenyan musicians are broke? Nyie wabongo mna dharau Sana
 
Back
Top Bottom