Kenyans Starting To celebrate Their Music

nyie kakimbizeni upepo huku kwa burudani tuachieni sie
Naona kwanza nyie mnaongelelea kuhusu YouTube sana. Mnatudhihaki kwa maana hakuna mziki wowote was Kenya umefikisha 20M views. Hilo tunajua na hatuwezi bisha. Endeleeni kuringa na YouTube views but mjue hizo ni za secular tu. Sasa anza kujigamba na views za muziki wa injili .I dare you.
 
K.O ....... injili umesikia hapa wote wakristo
 
Back
Top Bottom