Wewe ndo duni wa fikra kabisa, hicho kiingereza chako mbona hakikusaidii kupata ajira? Au basi kuondoa zile slums kubwa kabisa hapa Africa na dunianiUmeandika nini wewe mswahili, hata hueleweki, mkiambiwa nyinyi watu duni kabisa hamsikii...kaombe urudishiwe ada yako ya st kayumba!..
Mnaishia kuuona kwa mcho tu! Wewe hujiulizi kwa nini watalii wanapungua kwenu, ni kwa ssbabu wamejua wanadanganywa, wengi wanaotaka kupanda wanakuja moja kwa moja tz!Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
Unawatonesha watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye red, kama mlivyopigwa kwenye std gauge!
Nenda jukwaa la jamii intelligence ukapate maarifa kuna huo uzi!Ukichambua ramani ya Kenya kwa makini ukianzia kijiji cha Vanga utagundua kuwa mpaka ni mstari straight hadi lifike maeneo ya Taveta ambapo ghafla bin hu linageuza na kuenda kinyume zaidi ya mara moja. Kisha baada ya kilometa isiyo zaidi ya 50 hivi linarejea mkondo.
Swali linaibuka: kuna nini pale maeneo ya Taita taveta linalofanya ule mstari kugeuza ghafla design ile?
[HASHTAG]#TurejesheweMlimaWetu[/HASHTAG]. Tuanzishe hashtag.
Kama tu umeshindwa kujua hiyo ni lugha gani unafikiri utakuwa na uwezo wa kuelewa na kuchangia nilichoandika hapo funga domo lako waache wenye akili timamu wacommentUngeandika tu kwa lugha ya kiswahili tungekuelewa pia...hii ni lugha ghani sasa
Hahaha nipunguzie kazi, nipe hiyo link ya huo uzi.Nenda jukwaa la jamii intelligence ukapate maarifa kuna huo uzi!
Au mkiona vipi mnaweza kujaribu yale ya idd amin,
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Hata kwa akili ndogo tu ni rahisi mtu yeyote yule kuelewa wewe ni mjinga wa mwisho. Unaacha hoja ya msingi unajifanya mjuaji. You can not deny the truth.This is the way few poor minded like you use to go through different agendas for I know there are Kenyans with high IQ who understand what I meanUmeandika nini wewe mswahili, hata hueleweki, mkiambiwa nyinyi watu duni kabisa hamsikii...kaombe urudishiwe ada yako ya st kayumba!..
Mnaishia kuuona kwa mcho tu! Wewe hujiulizi kwa nini watalii wanapungua kwenu, ni kwa ssbabu wamejua wanadanganywa, wengi wanaotaka kupanda wanakuja moja kwa moja tz!
Wale wa kuona kwa macho wamebaki wazaliwa wa Kenya!
Hakuna mtalii atatoka mbali huko eti anakuja kuona tu mlima kwa mbali! Idadi ya watalii wa namna hiyo inazidi kupungua
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Mimi sio mchoyo wa maarifa, ila kuuchukua ndo hamwezi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha nipunguzie kazi, nipe hiyo link ya huo uzi.
Ni ujinga kumdharau mtu anayemiliki baiskeli yake mwenyewe na kumheshimu mtoto anaendesha gari ya babakeSasa "ghani" ndio nini au unataka kughani mashairi RIP Swahili
Mmewaandalia mambo matamu matamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi mlima tunauona kwa macho maana hatuna haja nawo, ni kama nyie waswahili mpo mpo tu na kila siku mnauona au kuusikia lakini ni wachache sana kati yenu ishawajia akilini kwamba mwende mkaukwee kama wafanyavyo watalii.
Sasa pia, watalii wanaokuja kuukwea tunawaelekeza wavuke mpaka japo ni wachache, kuna kundi kubwa la watalii tumewaandalia mambo matamu matamu ya kuja na kutulia kwetu huku wakiutazama maana hawana haja ya kuukwea.
Nyie wazembe mnasubiri hadi waje hao wanaotaka kukwea, hamjitumi kuandaa vipochopocho pembeni kwa wale wanaotaka kuuona tu.
Kinywa cha mpumbavu hakina hoja bali matusi. Sasa kwa hali hii unafikiri unaweza kuchangia chochote humu jf?!!Mbulura hao mbumbumbu hao wangese
Hako ka ukuta nako kawe kivutio jombi maana kataonekana hadi darDawa yenu ni kujenga Ukuta kama wa Trump tu wageni wakija kwenu wasiuone...
Hiyo picha inaonyesha unaitunza sana,toka kipindi lawmaina mpk leo ukipost picha mt kilimanjaro ni hiyo,kweli ushamba mzigo!Ukichambua ramani ya Kenya kwa makini ukianzia kijiji cha Vanga utagundua kuwa mpaka ni mstari straight hadi lifike maeneo ya Taveta ambapo ghafla bin hu linageuza na kuenda kinyume zaidi ya mara moja. Kisha baada ya kilometa isiyo zaidi ya 50 hivi linarejea mkondo.
Swali linaibuka: kuna nini pale maeneo ya Taita taveta linalofanya ule mstari kugeuza ghafla design ile?
[HASHTAG]#TurejesheweMlimaWetu[/HASHTAG]. Tuanzishe hashtag.
Hapa ni njaa tu ndio inasumbua mnaweza kuichukua africa yote na mkabaki maskiniUkichambua ramani ya Kenya kwa makini ukianzia kijiji cha Vanga utagundua kuwa mpaka ni mstari straight hadi lifike maeneo ya Taveta ambapo ghafla bin hu linageuza na kuenda kinyume zaidi ya mara moja. Kisha baada ya kilometa isiyo zaidi ya 50 hivi linarejea mkondo.
Swali linaibuka: kuna nini pale maeneo ya Taita taveta linalofanya ule mstari kugeuza ghafla design ile?
[HASHTAG]#TurejesheweMlimaWetu[/HASHTAG]. Tuanzishe hashtag.
Ingekuwa ni kuutazama tu wangetazama videos za huo mlima ingetosha but because this is not what they only need they must come to this beautiful country Tanzania to climb the highest point in Africakek
impossible my friend
jengeni 5km height wall then. kumbuka mlima unaoneka vizuri hata ukiwa Nairobi
KengezaMbona siuoni?