Kenyans with Mt Kilimanjaro

Kenyans with Mt Kilimanjaro

Umeandika nini wewe mswahili, hata hueleweki, mkiambiwa nyinyi watu duni kabisa hamsikii...kaombe urudishiwe ada yako ya st kayumba!..
Wewe ndo duni wa fikra kabisa, hicho kiingereza chako mbona hakikusaidii kupata ajira? Au basi kuondoa zile slums kubwa kabisa hapa Africa na duniani

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.

Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
tortilis-camp-amboseli20.jpg
Mnaishia kuuona kwa mcho tu! Wewe hujiulizi kwa nini watalii wanapungua kwenu, ni kwa ssbabu wamejua wanadanganywa, wengi wanaotaka kupanda wanakuja moja kwa moja tz!

Wale wa kuona kwa macho wamebaki wazaliwa wa Kenya!

Hakuna mtalii atatoka mbali huko eti anakuja kuona tu mlima kwa mbali! Idadi ya watalii wa namna hiyo inazidi kupungua

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Ukichambua ramani ya Kenya kwa makini ukianzia kijiji cha Vanga utagundua kuwa mpaka ni mstari straight hadi lifike maeneo ya Taveta ambapo ghafla bin hu linageuza na kuenda kinyume zaidi ya mara moja. Kisha baada ya kilometa isiyo zaidi ya 50 hivi linarejea mkondo.
Swali linaibuka: kuna nini pale maeneo ya Taita taveta linalofanya ule mstari kugeuza ghafla design ile?

[HASHTAG]#TurejesheweMlimaWetu[/HASHTAG]. Tuanzishe hashtag.
Nenda jukwaa la jamii intelligence ukapate maarifa kuna huo uzi!

Au mkiona vipi mnaweza kujaribu yale ya idd amin,

Ungeandika tu kwa lugha ya kiswahili tungekuelewa pia...hii ni lugha ghani sasa
Kama tu umeshindwa kujua hiyo ni lugha gani unafikiri utakuwa na uwezo wa kuelewa na kuchangia nilichoandika hapo funga domo lako waache wenye akili timamu wacomment

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nenda jukwaa la jamii intelligence ukapate maarifa kuna huo uzi!

Au mkiona vipi mnaweza kujaribu yale ya idd amin,

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Hahaha nipunguzie kazi, nipe hiyo link ya huo uzi.
 
Umeandika nini wewe mswahili, hata hueleweki, mkiambiwa nyinyi watu duni kabisa hamsikii...kaombe urudishiwe ada yako ya st kayumba!..
Hata kwa akili ndogo tu ni rahisi mtu yeyote yule kuelewa wewe ni mjinga wa mwisho. Unaacha hoja ya msingi unajifanya mjuaji. You can not deny the truth.This is the way few poor minded like you use to go through different agendas for I know there are Kenyans with high IQ who understand what I mean

By the way wewe unaonekana ni mpumbavu mmoja tu kati wengi wa aina yako,wafikishie ujumbe huu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Inanikumbusha tulivotoa hii season greetings yetu mwaka uliopita, waswahili nao waka copy and paste eti kuijibu yetu...ubunifu zerooooo, mtaliwa tuu
season.jpg
magu.jpg
 
Mnaishia kuuona kwa mcho tu! Wewe hujiulizi kwa nini watalii wanapungua kwenu, ni kwa ssbabu wamejua wanadanganywa, wengi wanaotaka kupanda wanakuja moja kwa moja tz!

Wale wa kuona kwa macho wamebaki wazaliwa wa Kenya!

Hakuna mtalii atatoka mbali huko eti anakuja kuona tu mlima kwa mbali! Idadi ya watalii wa namna hiyo inazidi kupungua

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.

Sisi mlima tunauona kwa macho maana hatuna haja nawo, ni kama nyie waswahili mpo mpo tu na kila siku mnauona au kuusikia lakini ni wachache sana kati yenu ishawajia akilini kwamba mwende mkaukwee kama wafanyavyo watalii.
Sasa pia, watalii wanaokuja kuukwea tunawaelekeza wavuke mpaka japo ni wachache, kuna kundi kubwa la watalii tumewaandalia mambo matamu matamu ya kuja na kutulia kwetu huku wakiutazama maana hawana haja ya kuukwea.

Nyie wazembe mnasubiri hadi waje hao wanaotaka kukwea, hamjitumi kuandaa vipochopocho pembeni kwa wale wanaotaka kuuona tu.
 
Sasa "ghani" ndio nini au unataka kughani mashairi RIP Swahili
Ni ujinga kumdharau mtu anayemiliki baiskeli yake mwenyewe na kumheshimu mtoto anaendesha gari ya babake

Huko kwenu labda mjivunie ukabila na ualshababu maana kingereza sio chenu wala hicho kiswahili but Tanzanians are proud of their Swahili language,unity,their unique culture meanwhile they are good in English zaidi ya unavyofikiri

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Sisi mlima tunauona kwa macho maana hatuna haja nawo, ni kama nyie waswahili mpo mpo tu na kila siku mnauona au kuusikia lakini ni wachache sana kati yenu ishawajia akilini kwamba mwende mkaukwee kama wafanyavyo watalii.
Sasa pia, watalii wanaokuja kuukwea tunawaelekeza wavuke mpaka japo ni wachache, kuna kundi kubwa la watalii tumewaandalia mambo matamu matamu ya kuja na kutulia kwetu huku wakiutazama maana hawana haja ya kuukwea.

Nyie wazembe mnasubiri hadi waje hao wanaotaka kukwea, hamjitumi kuandaa vipochopocho pembeni kwa wale wanaotaka kuuona tu.
Mmewaandalia mambo matamu matamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Leo umeishiwa kabisa! Wazungu hawahitaji kuona kwa macho wakiwa mbali, wao wanataka kuweka rekodi za kuapanda mlima

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Mbulura hao mbumbumbu hao wangese
Kinywa cha mpumbavu hakina hoja bali matusi. Sasa kwa hali hii unafikiri unaweza kuchangia chochote humu jf?!!

Wewe nenda fb,Instagram ukachangie udaku

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Dawa yenu ni kujenga Ukuta kama wa Trump tu wageni wakija kwenu wasiuone...
Hako ka ukuta nako kawe kivutio jombi maana kataonekana hadi dar

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Ukichambua ramani ya Kenya kwa makini ukianzia kijiji cha Vanga utagundua kuwa mpaka ni mstari straight hadi lifike maeneo ya Taveta ambapo ghafla bin hu linageuza na kuenda kinyume zaidi ya mara moja. Kisha baada ya kilometa isiyo zaidi ya 50 hivi linarejea mkondo.
Swali linaibuka: kuna nini pale maeneo ya Taita taveta linalofanya ule mstari kugeuza ghafla design ile?

[HASHTAG]#TurejesheweMlimaWetu[/HASHTAG]. Tuanzishe hashtag.
Hiyo picha inaonyesha unaitunza sana,toka kipindi lawmaina mpk leo ukipost picha mt kilimanjaro ni hiyo,kweli ushamba mzigo!

Sent from my LG-D858HK using JamiiForums mobile app
 
Kama mnashida na mlima semen tuwaazime japo
Kitonga bhas au sekeseke

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Ukichambua ramani ya Kenya kwa makini ukianzia kijiji cha Vanga utagundua kuwa mpaka ni mstari straight hadi lifike maeneo ya Taveta ambapo ghafla bin hu linageuza na kuenda kinyume zaidi ya mara moja. Kisha baada ya kilometa isiyo zaidi ya 50 hivi linarejea mkondo.
Swali linaibuka: kuna nini pale maeneo ya Taita taveta linalofanya ule mstari kugeuza ghafla design ile?

[HASHTAG]#TurejesheweMlimaWetu[/HASHTAG]. Tuanzishe hashtag.
Hapa ni njaa tu ndio inasumbua mnaweza kuichukua africa yote na mkabaki maskini

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
kek
impossible my friend
jengeni 5km height wall then. kumbuka mlima unaoneka vizuri hata ukiwa Nairobi
Ingekuwa ni kuutazama tu wangetazama videos za huo mlima ingetosha but because this is not what they only need they must come to this beautiful country Tanzania to climb the highest point in Africa

Back
Top Bottom