Kenyans with Mt Kilimanjaro

Inanikumbusha tulivotoa hii season greetings yetu mwaka uliopita, waswahili nao waka copy and paste eti kuijibu yetu...ubunifu zerooooo, mtaliwa tuu
View attachment 542048View attachment 542050
Mmechora mlima ambao haupo kwenye taifa lenu.Nani ka copy mwenzie hapo? ama ni mlima Kenya huo kwenye picha? By the way you should spend much time in promoting mt.kenya which eligibily yours compare to The Kilimanjaro.Roughly i heard at your primary schools teaching young boys and girls about Mt.Kilimanjaro and Olduvai being in kenya,is this true?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Yale yale ya akiondoka Sanchez Arsenal itakufa

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app

Umenikumbusha mbali jombaa,hehe! Memory yako itakuwa ni kama ile ya ndovu aisee! Enzi hizo nilitoa tamko nikasema Sanchez akitoka tu Arsenali,ushabik wangu kwa timu hiyo unaishia hapo.Bado nipo nipo tu aisee!Arsenal bana,hehe!

kilwakivinje,hehe nilikuwa namjibu Mr.Wenger aisee!Nilichanganyikiwa kidogo ku'quote',we siunaona kocha wetu wa nguvu ako jf bana!🙂
 
Nimewauliza ni Mkenya mgani ana haja ya kuupanda, au hata nyie waswahili, yaani leo Mzaramo uwaze kusafiri ukakwee mlima Kilimanjaro. Sisi tunakula hela kutoka kwa watalii tunaowaleta wafurahie pale Amboseli huku wakitazama mlima.
Tanzania ina makabila zaidi ya 130,Tanzania ni zaidi ya kabila la wazaramo.Ukabila hauko huku kama huko

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
You have nothing to convince me to understand that nonsense

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ina makabila zaidi ya 130,Tanzania ni zaidi ya kabila la wazaramo.Ukabila hauko huku kama huko

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mkuu nenda kawatawale wale wajinga wapale mathare

Post sent using JamiiForums mobile app
 
You have nothing to convince me to understand that nonsense

Post sent using JamiiForums mobile app
The problem with you guys is that you do not know the history of east africa. Infact, if i were to tell you that Mombasa and the kenyan coast used to be under zanzibar sultanate you will surely laugh me off but facts are facts .
Fanya ka utafiti basi halafu uje na hoja yako na siyo kukania tu bila kutoa mbadala-HUO UNAITWA UJINGA
 
TANZANIANS THEY STILL HALF OF THE KENYAN LAND INCLUDING MOUNT KILIMANJARO, TANZANIANS ARE VERY INTELLIGENT PEOPLE NAWAOGOPA SANA
 
lete evidence inasema kilimanjaro was in kenya.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haya wataendelea kuwaharibu bint zenu huko pwani, endeleeni kushadadia sexial tourism.
 
Taabu sana ukiona mkenya anamcheka mTanzania kisa umaskini mimi nasema tu mtu aende Kenya ndo atajua nini hasa maana ya umaskini sie maskini ila ni kama trailer tu kule kuna full movie
 
Tanzania tuna National Park nyingi mpaka kero 38% ya Tanzania ni National Parks, 4 wonders of the world zipo Tanzania so unaweza dhani tumeupotezea kumbe sababu tuna vingi huwezi kusikia kimoja tu all day long .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kama vipi wauchukue tu na mkoa wa Kilimanjaro maana haiwezekani wachukue mlima watuachie akina mbowe

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
We usiongee hivyo mkoa wa Kilimanjaro ukichukuliwa na watu wake sehem zingine huko mtakufa njaa
 
Taabu sana ukiona mkenya anamcheka mTanzania kisa umaskini mimi nasema tu mtu aende Kenya ndo atajua nini hasa maana ya umaskini sie maskini ila ni kama trailer tu kule kuna full movie
Wakenya wengi wanjivunia wasichokijua kwakuwa wakisikia uchumi wao ni bora kuliko nchi nyingine za EA wanavimba vichwa hawajui hizi ni siasa tu.

Ufukara ulioko kenya ni mkubwa mno kwakuwa uchumi kwanza unamilikiwa na kundi dogo sana la watu/mabepari

Pato ghafi/GDP la wakenya ni kubwa lakini wanufaikaji ni wachache yaani mabepari na watu wanaojiita roral families za akina kenyatha na kina odinga na wengine wachache

Per capita income yao inaonekana kubwa kwa maandishi lakini haisadifu maisha halisi ya mkenya kwani kundi kubwa zaidi 80% wanaishi bila maji safi,huduma duni za afya,hakuna hata mahali pa kuishi watu wanaishi majalalani hata hapo Nairobi tofauti na Tz bado kila mtu anaweza kumiliki ardhi popote akafurahia keki ya taifa

Uchumi wa Kenya unategemea wizi wa rasilimali kutoaka nchi nyingine kwakuwa ni nchi kame sehemu kubwa that's why kila siku mnakazana na wasomali mnataka rasilimali zao mkidai mnadeal na usalama kwa kukomesha alshaabab. Hawa jamaa hawatawacha salama. Bado mnaona haitoshi mnaleta wizi wa maneno juu Kilimanjaro. Kuna wakati Kenya itatengwa kama ilivyotengwa Khatar

Lingine la kusikitisha ni kwamba viongozi wenu wengi kuanzia ngazi za juu ni vibaraka wa wazungu kitu mabacho ni hatari sana kwa ustawi wa taifa lolote kitu ambacho Tz hatuna na tukimwona wa aina hiyo tunahakikisha hapati nafasi yoyote

Ushauri wangu kwa hawa jirani zetu ni kwamba shughulikieni changamoto mlizonazo kama ukabila,ukoloni mambo leo,usalama ambao umedororeshwa na alshaabab,ufukara uliokithiri kwa wakenya wengi,kurudisha uchumi kwenye mikono ya wananchi sio kama sasa few individuals ndo wanamiliki uchumi huku wengine wengi wanaishia kuwa walipa kodi tu wala hawafurahii kuwa wakenya kitu ambacho huku Tz hatuna hayo majanga


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cry babies ,put a curtain on that mountain then,if we can see it we will advertise it period

Post sent using JamiiForums mobile app
 
American actor Harrison Ford in Ngorongoro yesterday

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…