Aliona wapi Mtanzania anaua mwenzake??
Wakenya ndiyo tabia yenu kuua. Kwa hiyo jibu la idadi ya mauaji unalujua wewe muuaji.
Tanzanians are peaceful.
Ila Wakenya mnatutesa kutuulia watu wetu.
Stop it
Kwani wale albino huwa wanauliwa Kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata halijui Kiswahili.
Nimesema Wakenya wanaingia Tanzania kuua albino
Kiswhili has never and will never help me anywhere.
Sent using Jamii Forums mobile app
This is shocking. Trying to imagine how the hell can some go through all the defences successfully with someone's dissertation. University systems must provide such loopholes.Kumekuwa na jokes kwamba Uchumi wa ma-eneo ya Juja , Thika ,Roysambu ,Kahawa unaendeshwa kwa pakubwa na hawa online academic writers.
Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu na mid-level colleges vilivyo Thika Rd wameingilia sana kazi hii. Najua mmoja ambaye ameifanya hadi akajenga a 5-floor flat.
https://www.dailymail.co.uk/news/ar...tes-paying-companies-write-dissertations.html
Umekurupuka vibaya sana. E writing ni njia halali ya kupata pesa. Unahitaji tu laptop na internet access. Kuna website za e writing(ambao ndio huwa madalali na sio wakenya au wa hapa Afrika), ukijiunga nazo wanakutupia kazi za research na kuandika. Wewe hata hutajua kazi unazofanya zitatumika kwa gazeti, kwenye website zingine au kwenye vitabu. Wakenya wametajwa kwasababu wengi wao ndio wamechangamkia hizi fursa. Kuna jamaa namjua ambaye amebobea kwenye e writing, huwa anaingiza takriban 200-250$, kwa masaa machache tu kila siku. Hiyo industry ni kubwa zaidi ya hayo makampuni machache ambayo yanatumiwa na hao wanafunzi wakizungu wavivu kufanya udanganyifu kwenye thesis zao.Janja janja kwa wa kenya haijaanza Leo Hip sio sifa ya kujifisia ni upuuzi na uzwazwa was hao PHD. Mnakuja kujisifia uouuzi hapa wankenya wenzenu wanakufa njaa Stupid typically Kenyan citizens African typically mindset Goddamn it
This is a very low, fanatic and insensitive comment a civilized person can think, write and post in a social media. Why do you have to abuse every Tanzania for a single person's mistake. Wrong and unfair chapTelling a Tanzanian to read a link is like forcing a dog to chase away an invading leopard. These people are lazy borne, they see reading as a waste of time.
Sent using Jamii Forums mobile app
This is shocking. Trying to imagine how the hell can some go through all the defences successfully with someone's dissertation. University systems must provide such loopholes.
Achana nao usisumbue akili na madalali wa PhD fake...I asked the questions with the same context, how can one defeat a well prepared opponent with full of references and ready to kill. Unless they face the opponents who are not real.
Online Writing is not illegal, only that it cannot be done by illiterate people.Janja janja kwa wakenya haijaanza Leo
Hip sio sifa ya kujifisia ni upuuzi na uzwazwa was hao PHD candidates .
Eti hili nalo ni la kujisifia hahahah
Wakenya bhana watu waajabu ajabu tu
Nchi iko na hunger and famine badala ya kusolve hizi ishu kwa kuanzia miradi ya kilimo cha kumwagilia nchi iwe na chakula cha kutosha .
Mnakuja kujisifia uouuzi hapa wankenya wenzenu wanakufa njaa
Stupid typically Kenyan citizens
African typically mindset
Goddamn it
Sent using Jamii Forums mobile app
I asked the questions with the same context, how can one defeat a well prepared opponent with full of references and ready to kill. Unless they face the opponents who are not real.
This is a very low, fanatic and insensitive comment a civilized person can think, write and post in a social media. Why do you have to abuse every Tanzania for a single person's mistake. Wrong and unfair chap
This is why I suggested that you be gentle when posting your opinion. How many are most, what is your sample size should have been put in you argument if you were honest. Come on grow Teargass. This is a public platform don't be that irresponsible.He is not the first person with that weakness, most Tanzanians in this forum don't pass through links that are posted here. So what I'm saying is sampling from what I have been seeing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo, tatizo halipo huku Africa ambapo watu wanafanya e-writing kama ajira. Lipo upande wa pili kule ughaibuni kwa hao wachache wadanganyifu wanaotumia e-writers kuwafanyia thesis zao. Hiyo industry ni kubwa zaidi ya hao wanafunzi wazungu wavivu. E-writing ndio huwa basis ya research nyingi kwenye habari magazetini, magazine kwenye mitandao, vitabu. Kwenye nyanja za aina zote kutoka ukulima, michezo, uchumi. Unaposoma vitu vingi mitandaoni jua kuna input ya hawa e-writers ambao wengi wao ni wakenya. Maanake wale wanaopeana hizo kazi hawana muda wa kufanya risechi na kuandika. Wao wanalipa top dollar kisha wanangoja end product wanazifanya mabadiliko kidogo, kisha wanazichapisha. Changamkieni hizi fursa, wenzenu wanavuna kweli kweli.
Correct, hawa watu ni majuha kweli, just because they don't understand something they start talking shit. Global dynamics are always shifting and only those ready to adopt will survive.Acha porojo, tatizo halipo huku Africa ambapo watu wanafanya e-writing kama ajira. Lipo upande wa pili kule ughaibuni kwa hao wachache wadanganyifu wanatumia e-writers kuwafanyia thesis zao. Hiyo industry ni kubwa zaidi ya hayo ya hao wanafunzi wazungu wavivu. E-writing ndio huwa basis ya research nyingi kwenye habari magazetini, magazine kwenye mitandao, vitabu. Kwenye nyanja za aina zote kutoka ukulima, michezo, uchumi. Unaposoma vitu vingi mitandaoni jua kuna input ya hawa e-writers ambao wengi wao ni wakenya. Maanake wale wanaopeana hizo kazi hawana muda wa kufanya risechi na kuandika. Wao wanalipa top dollar kisha wanangoja end product wanazifanya mabadiliko kidogo kisha wanachapisha. Changamkieni hizi fursa, wenzenu wanavuna kweli kweli.
Very true, and who said that Africans shouldn't benefit from this changing dynamics? I tried my hand at e-writing when I was fresh from uni before the hustles of life started eating up my time. I know most Kenyans here have too. Building a portofolio and a name for yourself is the hard part when you are new to e-writing. Trust me though, that you never fail to make a substantial amount in dollars if you have time in your hands. Kuna watu humu huwa wanaandika insha refu sana wakati wanacomment kuhusu mada. Ila kwa kutokuwa na hamu ya kujiongeza huwa hawafukuzani na fursa kama hizi. Kazi ni kuwakashifu tu wenzao ambao angalau wamedhubutu na wakaweza.Correct, hawa watu ni majuha kweli, just because they don't understand something they start talking shit. Global dynamics are always shifting and only those ready to adopt will survive.