Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Kwani wale albino huwa wanauliwa Kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliona wapi Mtanzania anaua mwenzake??
Wakenya ndiyo tabia yenu kuua. Kwa hiyo jibu la idadi ya mauaji unalujua wewe muuaji.
Tanzanians are peaceful.
Ila Wakenya mnatutesa kutuulia watu wetu.
Stop it
Sent using Jamii Forums mobile app