Tunawapa faida muache kujisifu kwa vitu msiokua navyo ndio maana kigamboni bridge muliwadanganya wakenya wenzenu iko nakuruππππππππKama hakuna mtanzania ana haja na wakenya then why are you here trolling us? Hayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli itabaki pale pale
heheee...vyenye ni neno lakkiswahili baba...tatizo lenu mnataka mtu aandike vyenye watanzania huandika au kuongea ..kiswahili mlikiskia...wenyewe wako mombasa na zanzibar...dar kilifanya kuja tu...au unabisha"Vyenye" ni upupu gani!? Wewe ni mmoja kati ya wakenya wengi ambao mna Kiswahili kibovu humu JF. Kuna mwingine anajiita wangeci, huyo mpaka kingereza hajui! Alikua akiandika inakua kama kituko ameamua kuhepa JF. Wakenya ambao wana haki yakukosoa mtz kuhusu Kiswahili humu hawazidi watatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe hta kiswahili hukijui...hujui maana ya vyenye...juzi tu humu mlikuwa hamjui maana ya neno makinika......"Vyenye" ni upupu gani!? Wewe ni mmoja kati ya wakenya wengi ambao mna Kiswahili kibovu humu JF. Kuna mwingine anajiita wangeci, huyo mpaka kingereza hajui! Alikua akiandika inakua kama kituko ameamua kuhepa JF. Wakenya ambao wana haki yakukosoa mtz kuhusu Kiswahili humu hawazidi watatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka na hii pia.Tunawapa faida muache kujisifu kwa vitu msiokua navyo ndio maana kigamboni bridge muliwadanganya wakenya wenzenu iko nakuru[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1060126
duh...naona umempa za uso..kisha hko kwao wanaofanyika huo ujinga ..ni watu wenye ngazi za juu serekalini...za kenya sana sana hutumiwa kw battle za tweeter...lkn hawa mpka wabunge...du
Huyo kilaza wa hali ya juu kuna national park gani dar es salaamππππππ
Mashudukumbe hta kiswahili hukijui...hujui maana ya vyenye...juzi tu humu mlikuwa hamjui maana ya neno makinika......
kiswahili si cha watanzania...kina wenyewe...
eti kisha wajifurahisha ukisema nina kiswahili kibovu...
wewe km ni pimbi utakosolewa tu...leo yani nimecheka sana...yani eti mtu kujuwa kiswahili ni mpka aongea km watu wa dar....aisee...sijui mwarimu,karamu,,kura,kurara,kurima,luto,uhulu,laila,karonzo...
km kujua kiswahili ni kuongea hvi...tosha...bora nikomae na kimvita tu..au ki amu,kigunya na kibajuni
Huyo kilaza wa hali ya juu kuna national park gani dar es salaam[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kama huyuππππππππ
Nani mbunge hebu niletee mbunge wa tanzania aliefanya hvo leta jinaduh...naona umempa za uso..kisha hko kwao wanaofanyika huo ujinga ..ni watu wenye ngazi za juu serekalini...za kenya sana sana hutumiwa kw battle za tweeter...lkn hawa mpka wabunge...du
Kama huyu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1060177
Na huyu vpππππππ
These are the reasons I usually tell you that you need to go to rehab, so you want me to compete posting these shit with you? I can't bent that low.Na huyu vp[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1060182
Subiri mujionee the modern electric railway in africa subirini tu musiwe na pupaππππ muna wasiwasi na tanzania sijui kwannichoboy...naona yule aliyetumia picha za sgr ya kenya kusema ni ya tz alikuwa chokoraa flani wa tandale..wala hana cheo chochote kile serekalini...
ni jokes tu ndio ilkuwa anafanya
Wacha hasira basi plzππππ tatizo lako ni hasiraThese are the reasons I usually tell you that you need to go to rehab, so you want me to compete posting these shit with you? I can't bent that low.
Sent using Jamii Forums mobile app
These are the reasons I usually tell you that you need to go to rehab, so you want me to compete posting these shit with you? I can't bent that low.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππ alaf munakuja kukinga kifua hapaichoboy...naona yule aliyetumia picha za sgr ya kenya kusema ni ya tz alikuwa chokoraa flani wa tandale..wala hana cheo chochote kile serekalini...
ni jokes tu ndio ilkuwa anafanya