kumbe hta kiswahili hukijui...hujui maana ya vyenye...juzi tu humu mlikuwa hamjui maana ya neno makinika......
kiswahili si cha watanzania...kina wenyewe...
eti kisha wajifurahisha ukisema nina kiswahili kibovu...
wewe km ni pimbi utakosolewa tu...leo yani nimecheka sana...yani eti mtu kujuwa kiswahili ni mpka aongea km watu wa dar....aisee...sijui mwarimu,karamu,,kura,kurara,kurima,luto,uhulu,laila,karonzo...
km kujua kiswahili ni kuongea hvi...tosha...bora nikomae na kimvita tu..au ki amu,kigunya na kibajuni